Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

Kwenye mada kama hizi akina Beni saanane,Bak, salary slip, nguruvi, yericko, mag, Okwi boban ..etc Hawatii mguu wanajua athari zake, moja ikiwa ni kunyang`anywa vitendea kazi kama laptops na smartphone walizogawanyishiwa na ofisi
 
Ila ukweli siku zote huuma hata ukibisha kwa minajili ya kujifariji
 
image-jpg.422279
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Kwa Kuwa inamhusu mmeo

Ukiona mtu anatumia ad hominen arguments ujue huyo is philosophically dead. Ndio wewe. As long as you can not reason out to defend your arguments , then you opt to character assassination type of argument.
A word to you: You can never tell for sure who is your father, may be it is me! So make reservations before you abuse somebody in these social media. Enjoy your evening
 
Kama wennye nyumba hawalii wewe unalia nini?
Je mmechoka kuiua CUF sasa mnataka kuhamia chadema. Chadema wanawaelewa ccm hamwezi kuwadanganya.
 
Watu walishajipigia dili mapema
Pamoja na deal cdm imepata mafanikio makubwa ikiwemo na kuongoza halmashauri kubwa ikiwemo jiji la dar.
Hii ndio inawauma sana sana vijana wa lumumba kupigwa bao na jiji kuongozwa na ukawa.
Kinachofanyika sasa ndio kile mlichopanga kuhakikisha mnavuruga utawala wa ukawa kwamana ni aibu kwenyu mmezoea dili zenyu hivyo mnafanya kila hujuma ikiwemo kuvunja halmashauri za jiji ili mpate pa kujaribu bahati lakini kamwe mtaishia kunusa tu na mwishoe mtaendelea kuinamishwa miaka5.
HAINAGA USHEMEJI
Nyie

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi wana confuse;
Chadema imeungana na Edward Lowassa sio Lowassa kujiunga na Chadema.

Sumaye na Lowassa wote ni Wajumbe wa Kamati kuu na Mawaziri Wakuu wastaafu tena kwa Seniority Sumaye aliwahi kuwa PM kabla ya Lowassa na kaitumikia nafasi hiyo for 10 years tofaut na Lowassa alietumikia kwa Miaka miwili kabla ya kufurushwa na Wabunge lakin bado Lowassa akiingia Mkutanoni Wote wanasimama Mpaka Muasisi Mzee Mtei! Shikamoo Ngoyai
Kuhusu Lowasa, siyo Chadema tu yule mzee ana kipawa cha kipekee. Matukio mengi anapofika Lowasa lazima utahua kuna mtu mzito kafika japo hana dola. Mifano ni Jubilee ya ndoa ya Mzee Mkapa au hata kwenye msiba wa Meya Mstaafu(Dr DIDAS-RIP), hiyo ni nyota ya mtu, iko hivyo na itabaki hivyo.
 
14716130_198722587228233_8947524142698280434_n.jpg


Hili lazima tulizungumze, Edward Lowassa ni mjumbe wa kamati kuu tena asiye na hata mwaka mmoja katika wadhifa huo lakini katika mikutano ya CHADEMA inashangaza kwani;
  • Huingia wa mwisho na kulakiwa na mwenyekiti, ndugu Mbowe na, Makamu wenyeviti bara na Zanzibar, Katibu Mkuu na Manaibu.
  • Hupanga mambo ya kujadliliwa katika mikutano
  • Ana kura ya veto, kura yake ni ya turufu ni kubwa kuliko wajumbe wa mkutano wowote wa CHADEMA.
  • Anakaa Meza kuu wakati wajumbe wa 'level' yake wanakaa viti vya kawaida.
  • Posho yake ya kikao ni kubwa kuliko ya Mwenyekiti.
Hii ndio tunaita CHADEMA imegeuka kichwa chini miguu juu, watu wakisema kakinunua chama majibu ya hasira na matusi hutolewa, 'leta ushahidi'. kama kuna mwenye katiba ya CHADEMA atutolee ili tuweze kujua majukumu ya mbunge wa kamati kuu. Ikumbukwe Sumaye naye 'alizawadiwa' ujumbe wa kamati kuu kwanini hakai meza kuu?. Kuna maswali machache pia ya kujiuliza;
  • Je thamani ya wajumbe wakongwe CHADEMA kama Prof. Baregu, Mabere Marando ni ndogo kulinganisha na Lowassa?
  • Tundu yuko wapi wakati katiba ya CHADEMA inavunjwa?
Tujadili kwa mapana na si mihemuko kamwe usitukane.
Hivi hili nalo lina athari kubwa kitaifa kama vile kuvuruga uchaguzi wa Meya Tanga, Kinondoni na uchaguzi wa rais Zanzibar eeh?!!
 
We unashangaa kukaa meza kuu kuna mwenzako kumsalimia Lowasa akaona muujiza utazani yule kipofu alipomuona YESU

Lowasa si wamchezo mchezo
Tena aliona muugiza kabisa yaani zaidi ya muujiza!!!!
 
BY M2020: KUIAMINI CHADEMA KWA SASA UNATAKIWA KUWA NA PUA, MDOMO, LIKICHWA KUBWA TUPU NA MASIKIO BASI. HAIHITAJI BUSARA, MAARIFA WALA HEKIMA.

UKIWA NA HEKIMA, MAARIFA NA BUSARA UTAACHANA NAYO MAZIMA.

IMEJAAA UTAPELI NA UPIGAJI DILI HAINA ISSUE YOYOTE NA SIASA HOVYO ZA KITOTO NA UPUUZI.

Kwa a naye taka kutukana MATUSI yote yaende kwa waume zake pemba.
Yaani kwamba nawe umechangia hoja hapa! Ase!!!
 
Back
Top Bottom