Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

Kitendo cha katiba ya CHADEMA kupiga marufuku kiongozi wa chama kukosolewa hadharani kimefanya chama kijae wanafiki tupu wasiohoji lolote bali kukenua tu.

Wakitoka ndiyo wanaongea,refer Babu Duni.
 
Kwani we kinachokuuma ni nini kwani ukiwaacha wakafanya mambo yao wewe unapungukiwa na nini acha umbea
Tatizo siyo kuachwa wafanye mambo yao wenyewe , tatizo ni ugumu wa majibu ya hya maswali yalioulizwa:
Sumaye anajisikiaje?
Katiba ya Chadema inasemaje?
Kwanini Mwenyekiti anampokea Mjumbe wa Kamati Kuu?
Wazee wa busara kama Prof. Baregu, Mabere Marando wanajisikiaje?

Jamani pesa imekuwa msemaji mkuu wa CHADEMA.No no no, why why why...Professa?-Godbless Lema
 
Hoja hapa ya kujadili ipo...katiba ya Chadema kwanini ivunjwe???watawezaje kuilinda katiba ya nchi?
 
Hoja hapa ya kujadili ipo...katiba ya Chadema kwanini ivunjwe???watawezaje kuilinda katiba ya nchi?
CHADEMA wanafikiri wananchi wanaweza kuwaamini kwa kila jambo tena, Watanzania wameshwapuuza siku nyingi.
 
Watu wengi wana confuse;
Chadema imeungana na Edward Lowassa sio Lowassa kujiunga na Chadema.

Sumaye na Lowassa wote ni Wajumbe wa Kamati kuu na Mawaziri Wakuu wastaafu tena kwa Seniority Sumaye aliwahi kuwa PM kabla ya Lowassa na kaitumikia nafasi hiyo for 10 years tofaut na Lowassa alietumikia kwa Miaka miwili kabla ya kufurushwa na Wabunge lakin bado Lowassa akiingia Mkutanoni Wote wanasimama Mpaka Muasisi Mzee Mtei! Shikamoo Ngoyai

Mbona kule dodo nyote mliimba mna imani na lowasa na jk kupiga makofi,lowasa ni kiongozi sii kama minyumbu ya lumumba
 
14716130_198722587228233_8947524142698280434_n.jpg


Hili lazima tulizungumze, Edward Lowassa ni mjumbe wa kamati kuu tena asiye na hata mwaka mmoja katika wadhifa huo lakini katika mikutano ya CHADEMA inashangaza kwani;
  • Huingia wa mwisho na kulakiwa na mwenyekiti, ndugu Mbowe na, Makamu wenyeviti bara na Zanzibar, Katibu Mkuu na Manaibu.
  • Hupanga mambo ya kujadliliwa katika mikutano
  • Ana kura ya veto, kura yake ni ya turufu ni kubwa kuliko wajumbe wa mkutano wowote wa CHADEMA.
  • Anakaa Meza kuu wakati wajumbe wa 'level' yake wanakaa viti vya kawaida.
  • Posho yake ya kikao ni kubwa kuliko ya Mwenyekiti.
Hii ndio tunaita CHADEMA imegeuka kichwa chini miguu juu, watu wakisema kakinunua chama majibu ya hasira na matusi hutolewa, 'leta ushahidi'. kama kuna mwenye katiba ya CHADEMA atutolee ili tuweze kujua majukumu ya mbunge wa kamati kuu. Ikumbukwe Sumaye naye 'alizawadiwa' ujumbe wa kamati kuu kwanini hakai meza kuu?. Kuna maswali machache pia ya kujiuliza;
  • Je thamani ya wajumbe wakongwe CHADEMA kama Prof. Baregu, Mabere Marando ni ndogo kulinganisha na Lowassa?
  • Tundu yuko wapi wakati katiba ya CHADEMA inavunjwa?
Tujadili kwa mapana na si mihemuko kamwe usitukane.
Wakati unaandika hayo hujataka kufikiria idadi ya kura za uraisi alizopata...zilipishana kwa kiwango gani na za ngosha!?impact yake kwa wabungu wa ukawa na ruzuku kwa vyama vya ukawa!?...je hufikiriii kuwa anastahili heshima kwa mafanikio yote hayo aliyosababisha kwa cdm na ukawa!?
Fikiria vzr kabla ya kuandika.
 
Shikamoo pesa, mbona jamaa hailipi NHC kukomboa mali zake sasa kama alipewa 10 Bil
 
Sioni hoja hapa maana kinachosemwa kingewekewa ushahidi tungeona hoja ina mashiko,mtoa hoja tuwekee ushahidi wa kile unachokisema tuweke kumbukumbu sawa
 
Kitendo cha katiba ya CHADEMA kupiga marufuku kiongozi wa chama kukosolewa hadharani kimefanya chama kijae wanafiki tupu wasiohoji lolote bali kukenua tu.

Wakitoka ndiyo wanaongea,refer Babu Duni.
Kwa hiyo, washangilie kila kitu kama huko kwenu.
 
Tatizo siyo kuachwa wafanye mambo yao wenyewe , tatizo ni ugumu wa majibu ya hya maswali yalioulizwa:
Sumaye anajisikiaje?
Katiba ya Chadema inasemaje?
Kwanini Mwenyekiti anampokea Mjumbe wa Kamati Kuu?
Wazee wa busara kama Prof. Baregu, Mabere Marando wanajisikiaje?

Jamani pesa imekuwa msemaji mkuu wa CHADEMA.No no no, why why why...Professa?-Godbless Lema
Kawaulize.
 
Siasa ya Bongo imekuwa kama dini, watu wakishaamini hawapaswi kuuliza ukweli wa kitu chochote, ukiuliza utaambiwa mwenyeketi ameshasema tayari!

Ndo maana wanasayansi hawaamini ktk dini (ingawa wana dini) kwa sbb dini inamnyima mtu uwezo wa kuhoji jambo na kulifanyia utafiti huko ndiko CHADEMA ilipofikia
 
Lowasa ni Managing Director wa CDM, kwa hiyo hakuna kosa lilifanyika hapo, mtu akileta fyoko atahamishwa chama. Hawa wa huku JF hizo lap top na smart phone wanazotumia wamenunuliwa na ENL, kwa hiyo hapo hakuna wa kuleta fyoko. In Kimobitel voice "cheza nae mbali sana na mtu mwenye, mwenye pesa si mwenzako oh, anaweza akalifanya baya au zuri alitako siyo yy ni pesa eee" na nani vile aliimba Yuda alimuuza Yesu sababu ya pesa, hivyo usishangae kama Yesu aliuzwa nn CDM
 
Back
Top Bottom