jingojames
JF-Expert Member
- Mar 12, 2010
- 886
- 453
Siyo kila kitu kinaandikwa/kuwepo kwy katiba,vingine ni administrative na yapo kwy wigo wa maamuzi secretariat chama husika.ni kipengele gani cha katiba ya Chadema kinachosema Lowasa akae meza kuu kwa sababu alipata kura nyingi?