mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Mbunge wa Monduli , Edward Lowasa ,azidi kujinyakulia sifa za kutosha ikiwa ni pamoja na mtaji wa kisiasa Baada ya kuwaachia Walimu Mamillion ya shlingi kwnye Mkutano wa Walimu ulifAnyika Leo kwnye viwaanja vya Ushirika .Yeye binafsi katoa Tsh 450milln, na Marafiki zake aliofuatana nao kukamilisha salio lilobaki kuleta idadi kamili ya Tsh billion 1 na million mia mbili . Hizi ni kura za kutosha, ukizingatia idadi kubwa ya walimu waliokuwepo kwnye viwanja vya ushirika .