Hamna lolote wala chochote hamna chadema wala cuf wala ccm wote ni wezi tu na wanataka ikulu kwa nguvu wote,,mpaka sasa bora hata katiba ingekubali rais mstaafu anaweza kurudi madarakan hata jembe mkapa angerudishwa tu,that is the only presdent we can choose,hapa jf naona kwa mtazamo wangu wengi washabiki wa siasa na wachache waelewa tuWalimu mkikubali kudanganyika
hivyo ili mtoe kura mtaendelea kubaki na madeni yenu na kuishi ktk
mazingira magumu chini ya ccm, sasa ni wakati wa kujua hitimisho la
madai yenu na si kudanganywa na hela ambazo zitawaweka ktk hali mbaya na
ngumu ktk miaka 5 na wakatimwingine hadi miaka 10