Lowasa atenda makubwa "walimu saccos"kilimanjaro.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Mbunge wa Monduli , Edward Lowasa ,azidi kujinyakulia sifa za kutosha ikiwa ni pamoja na mtaji wa kisiasa Baada ya kuwaachia Walimu Mamillion ya shlingi kwnye Mkutano wa Walimu ulifAnyika Leo kwnye viwaanja vya Ushirika .Yeye binafsi katoa Tsh 450milln, na Marafiki zake aliofuatana nao kukamilisha salio lilobaki kuleta idadi kamili ya Tsh billion 1 na million mia mbili . Hizi ni kura za kutosha, ukizingatia idadi kubwa ya walimu waliokuwepo kwnye viwanja vya ushirika .
 
Hizo walimu kuleni lakini msimamo wenu uwe palepale. Hao walimu nao nitawashangaa kudanganyika kama watoto. "Ikulu ni mahali patakatifu, Mimi sikuchaguliwa kupageuza kuwa pango la walanguzi, Kama amekopa atazirudishaje," (Nyerere)
 
Milioni mia nne na Hamsini net?
This Dude is Damn Rich!!!
 
Kaamua Kugusa Kila Kundi, Waamini anamalizia ,kundi la Wazee kanda ya Kaskazini anamalizia ,sasa kaamia kwa Walimu . Good Strategies.
 
Daah jamaa anatisha,yaani harambee zote yeye ndiye mgeni rasmi, maana wanajua atamwaga mapesa!!!Mzee Cheyo vipi?kazi yako ya kumwaga mapesa imeingiliwa na EL
 
Duh hizo fedha ni kwa ajili ya nini?. Walimu chukueni misaada hiyo lakini ni vizuri kutosahau machungu ya enzi na ambayo hatujui yataisha lini kwa msaada wa siku moja. Hata siku mona kimfaacho mtu ni chake na sio cha kusaidiwa.
Watoe mishahara inayoweza kuwasaidia watumishi wa tanzania na sio kutoa vizawadi vidogo vidogo hali ya kuwa mishahara bado ni duni.
 
Huo ndio ukweli. Kumpa mtu pesa hujamsaidia. Wenye narrow mind tu, huweza kumsifia.
 
Aibu gani hii kumsifia mwanasiasa wa aina hii

sidhani kama unaelewa tofauti kati ya Mtu kumpa M2 sifa , na M2 kuwasiliha Jambo alilolifanya mtu flani . Hapo nimeweka alichokifanya Lowasa Moshi leo na hakuna kauli ya kumpamba Lowasa hapo hata kidogo .
 
Jamaa anastahili mijisifa, mbona watu kibao wana mihela hata hawatoi msaada. Mi akisimamishwa nampa kura yanhu na nitashawishi na wengine wampe. Kama hutaki unasepa...
 
Mwl.Nyerere aliwahi kuuliza namnukuu
"kuna biashara gani ikulu hadi wagombea kutumia kiasi kikubwa cha fedha?"
Nawakilisha
 
Maskini Nape Nnauye @Nnauye Jr na Njozi zake za Kumvua Gamba Lowasa. Wapi Filipo Mangula?
 
Last edited by a moderator:
.... Lowassa kiboko yenu....

.... SAFIIIII LOWASSAAAAAA......

.... UR MY NEXT PRESIDENT.....GO GOO BUDDY....GO GOO DUDE.....

Hizo walimu kuleni lakini msimamo wenu uwe palepale. Hao walimu nao nitawashangaa kudanganyika kama watoto. "Ikulu ni mahali patakatifu, Mimi sikuchaguliwa kupageuza kuwa pango la walanguzi, Kama amekopa atazirudishaje," (Nyerere)
 
lowasa hana jipya,na anaonesha ana uchu wa madaraka,akiwa kiongozi huyu ana weza kutu uza......
 
pesa ya VODACOM hiyo!!Alphatel inachukua commission sii chini ya tsh1.5bn kwa mwezi baada ya ShivaCom
 
Alas! Do we congratulate this!? He is using questionably obtained money, of course squandered from our sweat. Cant we arrest him for de-briefing?
 
Mbunge wa Monduli , Edward Lowasa ,azidi kujinyakulia sifa za kutosha ikiwa ni pamoja na mtaji wa kisiasa Baada ya kuwaachia Walimu Mamillion ya shlingi kwnye Mkutano wa Walimu ulifAnyika Leo kwnye viwaanja vya Ushirika .Yeye binafsi katoa Tsh 450milln, na Marafiki zake aliofuatana nao kukamilisha salio lilobaki kuleta idadi kamili ya Tsh billion 1 na million mia mbili . Hizi ni kura za kutosha, ukizingatia idadi kubwa ya walimu waliokuwepo kwnye viwanja vya ushirika .

Walimu mkikubali kudanganyika hivyo ili mtoe kura mtaendelea kubaki na madeni yenu na kuishi ktk mazingira magumu chini ya ccm, sasa ni wakati wa kujua hitimisho la madai yenu na si kudanganywa na hela ambazo zitawaweka ktk hali mbaya na ngumu ktk miaka 5 na wakatimwingine hadi miaka 10
 
Kwani Ikulu kuna biashara gani itakayolipa zaidi ya hii aliyonayo ya kutoa sadaka ya mil 450? Ingependeza wafanyabiashara pekee ndio watujibu hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom