Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

I see!.......kumbe ndio hivyo.....Mkuu naona kama umekuja humu kumpa Lowasa promo na kupima upepo wapambe wa Membe watasema nini.
mkuu sifongo nyie ndo nilikuw nawatafuta,sasa najuw imekuuma sna mpelekee membe,aka joka la mdimu
 
alie tu hapati uraisi hata awe anagawa hela makanisani na misikini na hao wanaompa akina rostam akipata tu nchi inauzwa lazima alipe wema wake kwa rostam na atakufa kwa pressure 2015 atakapohaibika anajisafisha kwa kutoa hela makanisani
 
Hapa tuongee bila kuwa mashabiki huyu jamaa anafaa kuwa Rais ajae ni nani mwingine ambaye ameweza kujiamini na kujipambanua kama lowassa?
Na kama mtu anashindwa kujipambanua kwa kuongea kitu anachokitaka basi huyu hawezi kuwa Rais ni mnafiki.
Ni watu wangapi ambao wanautaka urais lakini kwa unafiki wao wameshindwa hata kuongea ni wengi mno na kama mtu anaogopa hajajiandaa kuwa Rais.
Rais ajae atakua Mh.E.lowassa amejianda ,amejipanga ,amejipambanua wazi, anautafuta na anaupigania .
 
Huu ushabiki wa kijingajinga ndio uliotufikisha hapa tulipo. Nchi haipigi hatua ya maendeleo kwa sababu Watanzania walio wengi hawajui kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi wanaofaa. Tunachagua viongozi kishabiki bila kujali kama tunaowachagua wana sifa stahiki za kuongoza nchi. Amin, amin nawaambia, siku mtakapomchagua huyo MAMVI kuwa rais, mjue mnaiangamiza nchi moja kwa moja na vizazi vijavyo vitachimbua makaburi yenu kwa lengo la kuwapima iwapo kweli mlikuwa na akili timamu. Baba wa Taifa (RIP) alishawaonya kuhusu watu wanaotumia fedha nyingi kutaka urais. Hawa wahuni (pamoja na rafiki yake) zile clip za mwalimu zinazozungumizia sifa za urais hazionyeshwi kabisa kwenye TV zetu (kwa sababu nazo zimeshanunuliwa). Wanajua kwamba hawana sifa ya kuongoza nchi hii.
 
We r making things very hard for ourselves. Bila kuangalia kabila wala nywele. Mwenye uchungu na nchi hii na mzalendo wa kweli atakaetufikisha mbali ingawa kuna baadhi ya mapungufu as of NO 1 IS PERFECT. Mh. Lowassa u deserve to lead this country sina ushabiki bali ni fikra zangu ninazoziamini kuwa thabiti.
 
uaani hata wabunge wanamuogopa lowasa utafikiri ashakua raisi tayar hiyu jamaa hafai kuwa raisi hata ueye mwenyewe analijua hilo yatizo wengi wanarukia siasa walikiwa hawasomi magazeti ya mwanahalisi yaliyoonyesha jobsi gani lowasa alivyohusika kwenye ufisadi mbalimbali
 
Tuweke ushabiki wa vyama pembeni na pamoja na mengi mabaya aliyoyafanya ambayo mimi bado sijajidhihirisha but i do blv this country need someone like him and we need him soon. Trust me its better to give someone a chance that we do know all about his bad side than giving a trial to someone that we do not knw anything about them esp. Their bad side
 
Mh jacob zuma kabla ya kuingia ikulu alikuwa na kesi 13 na zingine za kubaka!!na bado akawa raisi

Hahahahahaha
ndio nachokisema hapa,kuwa mdharau mwiba mguu uliota tende,unaweza dhani wananchi hawamkubali kumbe unajidanganya,hata bungeni kama umechunguza vizuri,huwa akisimama Mh Lowasa utasikia kelele za shangwe toka kwao,kuna kitu cha kujifiunza
 
Kosa la Lowassa ni lipi hata anyimwe kuutafuta URAIS? alishasema mkimwaga Ugali yeye atamwaga mboga;Mnajuaje labda Lowassa anasubiri 2014 na 2015 ndio amwage hizo mboga?(ukweli wa tuhuma za ufisadi uliofanyika Richmond) Sio hivyo tu kwenye vikao vya magamba Dodoma alimnyooshea JK kidole akimweleza ninini usichokijua? huku Akina Mkapa wakimshangilia Lowassa mpaka akisababisha marais wastaafu kuondolewa kwenye kamati kuu ya CCM,kwa mtazamo Wangu UCHAGUZI ujao Rais ajae akitokea CHADEMA atakuwa ni Dr Slaa na akitokea CCM atakuwa Lowassa tu.
 
Lowasa ndo Rais wa Tz 2015,Wazr mkuu John P.M hutaki andamana.
 
Back
Top Bottom