Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

PHP:
  • https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/469103-insanity-ya-lowassa.html#nyie walewale midimu wang'oa kucha vijana wa membe mdimu mzee wa maadui waandshi..lowasa kawashka pabaya who z nyerere kwani nyerere ni mungu kumkataa lowasa na jk ni maoni yake si ya watanzania mbona nyerere huyohuyo alkuwa anatofautiana na sokoine kutokana na msimamo na utendaji kaz mzuri wa sokoine baada ya kuona anamzd nguvu sokoine akijiuzulu nyerere anamuomba arudi..mbona mzee mtei muasisi wa chadema waltofautiana na nyerere kutokana na umungu mtu wake na mtei akajiuzulu toa maoni yako usiseme nyerere...lowasa ni jembe na ni mtendaji kazi strong aliyebak ndani ya ccm tutampgia kampeni,kura,na kumuunga mkono kwa kila hali midimu nyie

"Whoz Nyerere kwani Nyerere ni Mungu...." Mkuu unaonaje huyo Mzee akiachwa na akapumzika kwa amani kuliko kutumia maneno ambayo yanadhalilisha nafsi ambayo ilishatangulia mbele ya haki?
 
Mi naona huyu jamaa asipo upata huu urais anaweza kufa kwa kihoro, hivyo kile kipindi walicho taka kumuongezea JK cha miaka miwili(2015-17), wampe huyu bwana ilimradi atoe usongo, baada ya hapo chi ichukuliwe na wazalendo ili tufaidi matunda ya tanganyika yetu

Kwa mwendo wa takrima na Polccm Huenda ndio Rais wa 5 wa Tz, Tusubiri tu muda.
 
nyie walewale midimu wang'oa kucha vijana wa membe mdimu mzee wa maadui waandshi..lowasa kawashka pabaya who z nyerere kwani nyerere ni mungu kumkataa lowasa na jk ni maoni yake si ya watanzania mbona nyerere huyohuyo alkuwa anatofautiana na sokoine kutokana na msimamo na utendaji kaz mzuri wa sokoine baada ya kuona anamzd nguvu sokoine akijiuzulu nyerere anamuomba arudi..mbona mzee mtei muasisi wa chadema waltofautiana na nyerere kutokana na umungu mtu wake na mtei akajiuzulu toa maoni yako usiseme nyerere...lowasa ni jembe na ni mtendaji kazi strong aliyebak ndani ya ccm tutampgia kampeni,kura,na kumuunga mkono kwa kila hali midimu nyie...rchmond altaka kuvunja mkataba wake JK akamwambia asivunje kwa sababu bnafs za JK jpya lipo wap hapo.....LOWASA ALJIUZULU KUTOKANA NA KINYONGO CHA SPKA SITA ALIYEKUWA AMEAIDIWA UWAZRI MKUU NA JK BAADAYE JK AKAONA LOWASA ANAFAA ZAIDI KULKO SITA BASI ILI LIZEE KWA TAMAA ZAKE LKAANZA BFU NA LOWASA...LOWASA ATAWAKMBIZA SANA...SUBRN INGIIIE VZUR NGUMU KUMESA ILA MESA HVYOHVYO WAZEE WA URAMBO NA MIDIMU

We si unampigia chapuo huyo mwizi Lowasa? Kwa taarifa yako hata hao akina Membe na Sitta wote hawafai hata kidogo kuwa viongozi! Labda jaribu wengine.
 
ni haki yake kujaribu bahati yake kama wengine, kama utampa au la no juu yako
 
Wewe uko nchi gani? Lowassa siyo fisadi wa scandal ya Richmond! Aliyeandika ripoti ya ufisadi wa Richmond (Dr. Mwakyembe) ndio huyo huyo aliyemsafisha Lowassa ufisadi wa Lowassa. Soma hii.....

MWAKYEMBEALIMSAFISHA LOWASSA UFISADI KWENYE RICHMOND
Tarehe 15 Februari 2008, kwa mujibu wataarifa rasmi za majadiliano Bungeni (Hansard), Dr. Harrison Mwakyembe, wakatiakihitimisha hoja ya Kamati Teule iliyochunguza suala la Richmond, Dr. HarrisonMwakyembe ilimsafisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kwambahakuwajibika na kujiuzulu kutokana na ufisadi wake katika sakata hilo, balialiwajibika kisiasa kwa makosa ya watu waliokuwa chini yake. alisema:
"Mheshimiwa Spika, ninaombanianze na utangulizi mfupi na rahisi; uwajibikaji kwa viongozi waandamizikatika nchi zinazolinda na kuenzi demokrasia kama vile Tanzania, una surambili; sura ya kwanza, kiongozi anawajibika kwa makosa yake mwenyewe yakiutendaji. Kiongozi anafanya maamuzimabaya, pengine kwa kishawishi cha pesa, maamuzi yake yakaleta hasara aukiongozi ameshindwa kutoa ushauri mzuri kama kiongozi, kwa kukiuka kanuni,kukiuka taratibu na kadhalika, matatizo yakatokea, anawajibika. Sasa sura hii ya uwajibikaji, inahusishauvunjwaji wa maadili, kanuni, sheria, miiko ya uongozi na kadhalika. Chini ya uwajibikaji wa aina hii, kiongozianaweza akashitakiwa, akaadhibiwa mbali na kuachia ngazi. Nitarejea kwenye sura hii hivi punde. Suala la msingi hapa ni kuwa, kuna element yaadhabu katika sura hii ya kwanza.
"Sura ya pili; kiongozianawajibika kwa makosa ambayo si yake moja kwa moja ila yaliyofanywa nawatendaji chini yake. Kitendo chakuwajibika kwa aina hii, kunaijengea Serikali au taasisi heshima na imani yapekee katika jamii, kunatoa picha ya kwamba, uongozi unajali, unalielewa tatizokwa kubeba lawama wao wenyewe. (Makofi)
"Mheshimiwa Spika, katika sualahili la Richmond, viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini na Waziri Mkuu,walikuwa wanakabiliwa na uwajibikaji wa aina hizo mbili. Kwanza, uwajibikaji unaotokana na makosa yaviongozi wenyewe katika maamuzi yao, maelekezo yao, maagizo yao nakadhalika. Mawaziri wote wawili waNishati na Madini; aliyetangulia na aliyefuatia baadaye, Katibu Mkuu naKamishina wa Nishati, wote tukawaona wana makosa ya moja kwa moja,waliyoyafanya wao kwa njia moja au nyingine. Kwa kuwa uwajibikaji wa aina hii, unatokana na ukuikwaji wa kanuni,taratibu, maadili, sheria na kadhalika, Kamati Teule ikahakikisha inawahojiwote ili kusikia their side of the story kabla ya kutoa pendekezo lakuwawajibisha kwa makosa waliyofanya. Ndiyo maana baada ya kuwahoji, tumependekeza hatua za kuchukuliwa dhidiyao.
"Hali haikuwa hivyo kwa WaziriMkuu; Kamati teule ilikuwa na ushahidi wa mawasiliano ya karibu kati ya WaziriMkuu na Uongozi wa Wizara. Ushahidi huohaukutosha kwa uwajibikaji wa sura ile ya kwanza wa kiongozi kukutwa na makosaya moja kwa moja, aliyoyafanya yeye mwenyewe kwa njia moja au nyingine, lakiniushahidi huo ulitosha kwa uwajibikaji wa sura ya pili, ambao hauhitajimahojiano, kusikilizwa wala utetezi. Unawajibika kwa makosa ya watendaji walio chini yako. Hiyo ndiyo demokrasia. Wabunge wengi wametoa mifano mingi hapa,ukiwemo wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, alipokuwa waziri wa Mambo ya Ndani; aliwajibikakwa makosa ya askari huko Shinyanga wakati yeye alikuwa Dar es Salaam;hatukumsikia akidai apewe nafasi ya kusikilizwa na hata kama angepewa, badoangewajibika yeye mwenyewe. (Makofi)
"Mheshimiwa Spika, Kamati Teuleinatamka ukurasa wa 37 wa taarifa yake kuwa, ninanukuu ‘Ushiriki huu wa karibuwa Waziri Mkuu katika kila hatua ya zabuni ya umeme wa dharura si lazima uweushahidi wa kwamba, kiongozi huyo wa Kitaifa alihusika katika kuibebaRichmond. Unaweza pia ukawa ushahidi wastyle yake ya kawaida kabisa ya Waziri Mkuu katika kufuatilia masuala yote yaKitaifa kwa karibu sana, tukizingatia kwamba, nchi wakati huo ilikuwa katikakipindi kigumu sana cha ukosefu wa umeme….."
Inavyoonekana baadhi ya watu ama kwamakusudi wamekuwa wakiwapotosha watanzania. Watu wanaomwita Lowassa fisadiwanafanya hivyo kutokana zaidi na suala la Richmond. Lakini Mwakyembe akimsafisha Lowassa kwambamakosa yake hayakuangukia kwenye sura ya kwanza ya uwajibika, ya kiongozikuwajibika kwa makosa yake mwenyewe. Sura hii ndiyo unayoweza hata kumwita mtu fisadi. Lakini Lowassa aliwajibika kwa makosa ya watendajiwalio chini yake kama alivyoeleza vizuri Dr. Mwakyembe. Anayewajibika kwa aina hii ya pili huwezikumwita fisadi. Akisifu aina hii yaEdward Lowassa kuwajibika, Dr. Mwakyembe anasema, "…Kitendocha kuwajibika kwa aina hii, kunaijengea Serikali au taasisi heshima na imaniya pekee katika jamii, kunatoa picha ya kwamba, uongozi unajali, unalielewatatizo kwa kubeba lawama wao wenyewe". (Makofi). Mwakyembe anakwenda mbali na kuhusishauwajibikaji huu wa Lowassa na ule wa Mzee Ali Hassan Mwinyi.


 
wewe hujitambui kwa kutokujua haki ya kikatiba ya kila mtu ambae ametimiza umri na mwenye uraia wa JMT kua anaweza gombea, yeye akitangaza kinakuuma nini,, tangaza na wewe kama unaweza, some people bwana kutwa majungu tu
 
Hakika huyu mweshimiwa amejitahidi kutoa mahela Makanisani , SACCOS za walimu, Miskitini hatimaye kwa Wamachinga . Hivi akija kukosa nafasi ya kupewa kugombea na chama chake Urais Ittakuwaje ? atavumilia kweli au ndo utakuwa mwisho wa CCM lazima moto uje uwake !

Kwa mtanzania wa kawaida uwezi ukawa na mihela mingi kiasi hicho, kwa nguvu ya pesa Lowwasa na mkubali, ila uadilifu wake mashaka mengi
 
Hakika huyu mweshimiwa amejitahidi kutoa mahela Makanisani , SACCOS za walimu, Miskitini hatimaye kwa Wamachinga . Hivi akija kukosa nafasi ya kupewa kugombea na chama chake Urais Ittakuwaje ? atavumilia kweli au ndo utakuwa mwisho wa CCM lazima moto uje uwake !

Kwa mtanzania wa kawaida uwezi ukawa na mihela mingi kiasi hicho, kwa nguvu ya pesa Lowwasa na mkubali, ila uadilifu wake mashaka mengi

Hana lolote na wala hataupata huo uraisi. Na kwa vile ataukosa, sana sana atakua amejitengenezea njia ya kifo. Si ma-BP na madude mengine yanayo fanana na hayo yata muandama sana!!!
 
Tuko pamoja sioni matumaini labda kwa nguvu ya pesa anaweza akalazimisha kupita na je akipita wale wote wasiopenda mambo machafu ya ufisadi wataendelea na CCM ?
 
itakuwa kama jusi, joto jiwe kusa ona. hizo si hongo? hatoi kwa sababu ya kumaanisha wema au msaada, hiyo ni nipe nikupe, na labda hao aliowapa wampe, bado kuna group kubwa nyuma yenye hapana
 
Akikosa úrais ni lazima ataingia uchizi,ametumia hela nyingi mno, na akipata urais basi urais huo atajifaragua nao kwamba hatataka mtu aseme juu ya urais wake maana atasema ameununnua
 
si anakosa kama wengine wanaokosa? atarudi monduli kuchunga ng'ombe
 
Hakika huyu mweshimiwa amejitahidi kutoa mahela Makanisani , SACCOS za walimu, Miskitini hatimaye kwa Wamachinga . Hivi akija kukosa nafasi ya kupewa kugombea na chama chake Urais Ittakuwaje ? atavumilia kweli au ndo utakuwa mwisho wa CCM lazima moto uje uwake !

Kwa mtanzania wa kawaida uwezi ukawa na mihela mingi kiasi hicho, kwa nguvu ya pesa Lowwasa na mkubali, ila uadilifu wake mashaka mengi

atarudi chadema chama cha nyumbani.
 
Akikosa úrais ni lazima ataingia uchizi,ametumia hela nyingi mno, na akipata urais basi urais huo atajifaragua nao kwamba hatataka mtu aseme juu ya urais wake maana atasema ameununnua

Nimeipenda hiyo watanzania ni kumuogopa kama ukoma mtu anayetaka kuingia Ikulu kwa nguvu ambaye yuko tayari kununua cheo kwa gharama yoyote ile , tafsiri yake ni kwamba apewi kwa watu kupenda bali kwa sababu ana nguvu ya kununua !
 
Hakika huyu mweshimiwa amejitahidi kutoa mahela Makanisani , SACCOS za walimu, Miskitini hatimaye kwa Wamachinga . Hivi akija kukosa nafasi ya kupewa kugombea na chama chake Urais Ittakuwaje ? atavumilia kweli au ndo utakuwa mwisho wa CCM lazima moto uje uwake !

Kwa mtanzania wa kawaida uwezi ukawa na mihela mingi kiasi hicho, kwa nguvu ya pesa Lowwasa na mkubali, ila uadilifu wake mashaka mengi

Hivi kwa akili yako unafikiri LOWASA ndiyo CCM?
 
The old man looks so sick and tired. Kwa sasa naona anahangaika na Kampeni za chinichini Makanisani kwa kuwahonga Maaskofu,Mapadre na Waumini wao ili mwaka 2015 wampe KULA. Huyu jamaa ni FISADI sijui haoni hata aibu ya kukazana kutaka kugombea Urahisi!

Juzi tumesikia kule Arusha kwenye Uchaguzi wa Diwani Kata ya Makuyuni alishiriki kukodi watu waliompiga Mbunge wa CHADEMA Mhe.Joshua Nassari(Dogo Janja)baada ya kuona kwamba CHADEMA walikuwa na kila dalili ya kushinda Kata hiyo! Kwa hiyo Lowassa ni ADUI mkubwa wa CHADEMA na DEMOKRASIA Tanzania kwa ujumla na kwa hiyo HAFAI KUWA RAIS WA AWAMU YA 5.

Nina hakika if he gonna loose the Presidential position he'll die of depression!
 
Hakika huyu mweshimiwa amejitahidi kutoa mahela Makanisani , SACCOS za walimu, Miskitini hatimaye kwa Wamachinga . Hivi akija kukosa nafasi ya kupewa kugombea na chama chake Urais Ittakuwaje ? atavumilia kweli au ndo utakuwa mwisho wa CCM lazima moto uje uwake !

Kwa mtanzania wa kawaida uwezi ukawa na mihela mingi kiasi hicho, kwa nguvu ya pesa Lowwasa na mkubali, ila uadilifu wake mashaka mengi

Ebu nikumbushe, kwa siku wale watu wa Richmond/Dowans walikuwa wanalipwa mamilioni kiasi gani vile? Wako baadhi ya wambeya walisema eti ilikuwa ni shilingi 152,000,000.
 
yap, chama cha waliopigika.

Hapo sasa ni kuwa na akili finyu, CHADEMA kweli ni chama cha waliopigika ? mimi na jua CCM ndo chama kilichopigika kifikira na kiuchumi pia ndo maana serikali yake inaenda kwa kusuasua , iko hoi kweli kweli, deni la taifa trillion 23 wakati bajeti ya serikali ni trillion 18
 
Back
Top Bottom