Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

Vipi kumpa urais dr slaa ambaye anambaka mke aw mtu Huku akiitelekeza familia na mke wa Ndoa karatu, ukimpa urais si atabaka mpaka watoto aw shule
 
Lowasa anawachoma kikwelikweli leo mada kama tano zoote Lowasa. Kweli mti wenye matunda mema ndiyo hupigwa mawe. Kimbiza white hair.
 
Mtoa mada hii ni mtu wa CCM na huenda ni kipenzi cha Membe. Ni upuuzi kumchafua Lowasa na kumpigia tafu kisirisiri huyo Membe. Sasa sisi hatudanganyiki sababu nyie CCM ni wanafiki. Lowasa analalamika na kuipondea serikali ya swaiba wake, Sitta nae ni waajabu anaipondea serikali ambayo naye ni mmoja wa viongozi wa serikali hiyo hiyo.Mkuu wa nchi naye analalamika kuwa kuna watu eti majamazi etc
Kama sio unafiki nyie ccm kwa nini msitajane na badala ya kuzunguka mmbuyu??
Nakumbuka nasaha ya baba wa Taifa mwl. Nyerere kuwa mtu aliyefirisika kisiasa uhuburi udini na ukabila, Edward Lowasa alianza na kampeni makanisani na kutoa fedha nyingi ili kujijenga kisiasa katika harakati zake za kuingia ikulu 2015. baada ya kuona mambo hayaendi sasa ameanza siasa za kikabila kwa kuwakusanya wazee wakimasai ili waandamane kuichafua chadema, na baada ya kushindikana maandamano hayo sasa amewapangia wazee hao wafanye mkutano wa hadhara, huyu ni mtu hatari sana kupewa urais
 
EL aimarishe kwanza afya ndio aje kwenye urais.kwa afya aliyonayo sidhani kama ataweza kuizunguka Tz kupiga kampeni
 
Tunazungumza majanga ya kitaifa lakini lowasa ni mkosi namba moja kuzaliwa tanzania

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nakumbuka nasaha ya baba wa Taifa mwl. Nyerere kuwa mtu aliyefirisika kisiasa uhuburi udini na ukabila, Edward Lowasa alianza na kampeni makanisani na kutoa fedha nyingi ili kujijenga kisiasa katika harakati zake za kuingia ikulu 2015. baada ya kuona mambo hayaendi sasa ameanza siasa za kikabila kwa kuwakusanya wazee wakimasai ili waandamane kuichafua chadema, na baada ya kushindikana maandamano hayo sasa amewapangia wazee hao wafanye mkutano wa hadhara, huyu ni mtu hatari sana kupewa urais
Lowassa ni dicteta hakuna mfano na watanzania wanafanya makosa kweli kumfanyia mzaa mtu huyu kwani hana huruma yeye kuchinja kwa ajili ya fedha na madaraka ni kitu kidogo kwako, mungu atuepushe mbali naye.
 
hivi unposema LOWASA NI jembe unamaana ni chombo kinachotumiwa na mtu/mwanadamu kulimia au kuchimbia. hivyo ni nyenzo tu ya mwanadamu. Hivyo nyenzo hiyo mwanadamu anaweza kuitumia kwa minajili mbalimbali na mara zote hutumika sehemu chafu (udongo). Kwa misingi hiyo zana hiyo ni Chafu..... Vilevile mueleze kwa kina kwa namna gani EL hakuhusika na uchafu wa RICHMOND, kisingizio kuwa alijiuzulu ili kulinda serikali hiyo ni hoja MFU. KUMBUKA YEYE MWENYEWE LOWASA ALITUELEZA WATANZANIA KUWA HAWAKUKUTANA NA JK MITAANI, hvyo walikutania wapi? ukijibu hapo ndio utapata maana ya kujiuzulu kwake.
 
hata kama Tanzania ni nyumba au familia ya mtu mmoja EL urais hapati, mwizi kwa hukumu ya nyerere, mwzi kwa hukumu ya bunge, hata rais kukubali ajihudhuru ni kutia saini kuwa ni mwzi. MWIZI AINGIE IKULU LADBA YA MONDULI KAMA NAKO KUNAIKULU
 
Ingia kwenye timu ya kuelimisha watanzania kupenda nchi na elimu ya uraia isiyochakachuliwa kwa vitendo. Muelimishe jirani yako, ndugu yako na tuelimishane ili wote wajue kuwa EL ni fisadi na hela anazogawa kwenye makanisa na misikiti ni mali ya UMMA wa watanzania na hivyo waangalie wasikaangwe na mafuta yao wenyewe

Ayo ni maoni yako na kumwita mtu fisadi bila kuthibitishwa na mahakama inaonyesha wazi hata hiyo elimu ya uraia wew huna au hujaielewa bila shaka.

Mwanasiasa kuwa tajiri ni dhambi?? kutoa msaada ni ufisadi au kufanya biashara!!!!!!! tubadilike na kuangalia mambo positive badala ya ushabiki na fitina kamwe haitujengi. tumechagua maskin wangap kwenye ubunge wamekuwa hewa wabinafsi na walafi wa kutisha...

watu kama nyie ndo maskani wa kufa kazi hufanyi ila kila wakat lawama, waache watu wachague kama ni ccm waachieni wafanye mambo yao na si kuita watu fisadi bila ushahidi ila hisia, ni wendawazimu.

Kila mtanzania ana haki yake ya kufanya yake bila kuingilia as long havunji sheria, El anawafaa wengi na anajitoa na anastahili pongezi kama humpendi kaa kimya kura si yako subiri wakat ukifika umwadhibu.

Bado watu wanakariri richmond ambayo ni kashfa hewa iliyojaa fitina, unafiki na chuki ambazo ni hatari kwa taifa hili kuliko ujinga na maradhi.
 
Kuwa tajiri sio dhambi, dhambi ni kupata utajiri kwa njia isiyo halali. Mwaka 2008 na 2009 hapa jf kulitolewa ushahidi mwingi unaoonyesha kuwa utajiri wa EL si halali hata kidogo. Elimu ya uraia inayotakiwa ni kuwafundisha wananchi kuipenda nchi yao na kuchukia ufisadi. Utajiri wa EL una utata mkubwa sana, tena sana. Mtu huyu kila wiki sasa hivi anachangia makanisa, misikiti, na shughuli mbali mbali za kijamii. Hizi hela zinatoka wapi? Je, akiwa raisi hatahitaji kuzilipa kama zilivyohitajika kampuni kama Richmond kulipia hela zilizotumika kwenye kampeni mwaka 2005?
Kuhusu Mahakama, EL hajawahi kupelekwa mahakamani kwa sababu za ufisadi. Hata hivyo, je serekali ya Tanzania ina nia ya kushughulikia ufisadi? Kwanza utamshughulikia nani umuache nani? Nani anaweza akajigamba kwenye serekali ya CCM aseme kuwa yeye si fisadi? Sana sana itapaka matope viongozi wa vyama vya upinzani ili nao waonekane mafisadi ili asionekane mwema hata mmoja. In fact, kwenye nchi ambazo zinatawaliwa kwa rule of law, kashfa ya Richmond tu ingetosha kumpeleka mahakamani EL na huko mengi yangefahamika kwa sababu mahakamani mawakili wanauliza maswali mengi. Hata hivyo, nchi yetu ni nchi ya kulindana, hata ukichemsha kiasi gani, bora uko kwenye mtandao wa serekali, utalindwa kwa sababu usipolindwa utatoa siri za wengine. Nchi hii ni bora liende tu
 
hivi unposema LOWASA NI jembe unamaana ni chombo kinachotumiwa na mtu/mwanadamu kulimia au kuchimbia. hivyo ni nyenzo tu ya mwanadamu. Hivyo nyenzo hiyo mwanadamu anaweza kuitumia kwa minajili mbalimbali na mara zote hutumika sehemu chafu (udongo). Kwa misingi hiyo zana hiyo ni Chafu..... Vilevile mueleze kwa kina kwa namna gani EL hakuhusika na uchafu wa RICHMOND, kisingizio kuwa alijiuzulu ili kulinda serikali hiyo ni hoja MFU. KUMBUKA YEYE MWENYEWE LOWASA ALITUELEZA WATANZANIA KUWA HAWAKUKUTANA NA JK MITAANI, hvyo walikutania wapi? ukijibu hapo ndio utapata maana ya kujiuzulu kwake.

Nashukuru mkuu
 
Lowassa ni mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii na kwa kupitia ushahidi huo ambao watu wanautaka wa yeye kuwa msafi au mchafu basi hapo ndipo kura ya ushind itakapopatikana....
 
Santa DMV anafanya kazi ya flipflop anagonga debe na bosi wake kakimbia. Duh ninasalimia tu napita naenda kwa mshikaji Siita kupata moja baridi
 
labda niseme kwa ufupi mi si mkeretwa wa chama cha mapinduzi,ila napendezwa sna na game za kisiasa anazocheza mh Edward Lowassa,hyu bwana toka ameachia uwazir mkuu hakika hakuna mtu asiye juwa kuwa angekuw ni kiongoz mwingne leo hii asingekuw kwny ulingo wa kisiasa,kwa jinsi alivyoondamwa na wapinzani wake ndani ya chama chama cha mapinduzi.leo hii lowassa asingekuw popote,na hata leo watz wanajuw yote kuw lowassa aliachia uwazir mkuu si kna kwmba alhusika,ni kutokana na unafiki uliochezwa kwa ustad mkubwa na bernard membe akishirikiana na mzee mnafiki kuliko wote duniani naye ci mwingne ni samweli sita,Lowassa ndo huyo leo tunamsikia anavyokimbiz wapinzani wake ndani ya chama chao mapinduzi,hili game analocheza lowassa niseme tu kwmba huyu bwana kajaliwa amesha wasoma wote ndan ya chama chake,hili hata mtoto mdogo anatambuwa,lakin zaid ya yote hyu bwana kama atagombea urais hy 2015 ukweli ulio waz hakuna mtu anaye uzika ndani ya chama cha mapinduz zaid yalowassa,labd watakate jna lake,ila nitahadharishe kw wale walamba miguu wa membe wakamshauri,kuw fitna anayecheza sasahv ya kuhakikisha jina lowassa linakatw mapema ndo itakuw mwisho wa hicho chama chenu,Membe sasahv halali usiku kucha anajaribu kufikiria ni njia gan ya unafiki atacheza ili kuhakikisha jina la el linakatw mapema,ila niwambie nyie wapiga debe pangeni mkakat kwa vitendo,acheni kuishi kinafik pangen vita ya kupambna na mh lowassa kw vitendo,nan asiye mh membe anategemea huruma za familia ya rais ili apate uraisi,amefikia hatua ya kumuita riz moko kila jioni kumshawishi akaongea na baba yake ili amuunge mkono,matokee yake naye huy mtoto wa rais kw kutojitambuw ameingia mkenge,ila niwaonye tu mapema.hakuna histor yeyeyote inayoonyesha familia ya rais ikikupigia debe utakuw rais,hakuna sehem yeyote yeny kumbukumb hyo,mh membe nakushaur simama mwenyew na miguu yako acha kutegemea familia ya jk hutatoboa kamwe,nashukur sna jk amesha ng'amuw huo mchezo wako wakinafiki unaocheza,nan asiyejuw vurugu zote za mtwara ww ndo ulikuw engeenr wa hzo vurugu?ila nikwambie tu hizo damu za wanamtwara zitakutafuna mpaka kizazi chako cha mwisho,unamwaga damu za watu wasiokuw na hatia,hyo laana haitakuacha milele!!!
 
I see!.......kumbe ndio hivyo.....Mkuu naona kama umekuja humu kumpa Lowasa promo na kupima upepo wapambe wa Membe watasema nini.
 
Mkuu mbona unapandisha homa ya magamba?
 
Back
Top Bottom