Umekosea,hata sisi wenye upeo mkubwa,Lowassa ametuacha njia panda-he seems to tick the right boxes kila anapokanyaga mguu= washauri wake naona wanakwenda above the call of duty,sijawahi ona mtanzania ana anaepiga hesabu ya mbele kama huyu mzee,nina hamu kubwa ya kuwajua organisers wa mambo yakeWaliokataliwa na the late baba wa taifa ni janga tu piga ua.Sina imani hata kidogo nao pia nanyi watazania wenye upeo mdogo wa kudadavua mambo
Nakubaliana na wewe. Siku hizi dili za fedha zinapigwa mpaka makanisanihawa wa dini siku hizi hawaaminiki tena
Viongozi wa dini wamenifanya siku hizi niache hata kwenda kanisani, nibaki nasali kivyangu nyumbani. Imagine uko kwenye hiii misa umeenda kusali na badala yake anatokea mzee lusfa mwenyewe kama huyu anapewa mic asimame madhabahuni!....
Unamjua Apson Mwang'onda. Huyo ndo mzee anayeratibu mpingo ya LowasaUmekosea,hata sisi wenye upeo mkubwa,Lowassa ametuacha njia panda-he seems to tick the right boxes kila anapokanyaga mguu= washauri wake naona wanakwenda above the call of duty,sijawahi ona mtanzania ana anaepiga hesabu ya mbele kama huyu mzee,nina hamu kubwa ya kuwajua organisers wa mambo yake
Halafu waumini wa kanisa hilo hata 100 hawajafikayaani kwenda kanisani Znz ndio aiteka Znz?
Je unajuwa kiswahili kweli au umeweka kichwa cha habari kuvuta wasomaji kwa wingi?
Pole sana
Nakubaliana na wewe. Tena aliyefukuzwa kwa kashfa ya ufisadiWaziri Mkuu MFUKUZWA (sio MSTAAFU).
sijui kwa nini jk anamuogopa lowassa
naomba tupe ya ziada kuhusu huyu Apson-sababu sijawahi ona campaign inaendeshwa with mathematical precision hapa bongo- Lowassa anawaacha wagombea wenzie kivuliniUnamjua Apson Mwang'onda. Huyo ndo mzee anayeratibu mpingo ya Lowasa
Alafu naye mhuni tu. Angalia shati hapo kifuani kaacha kifua wazi ka wahuni wa bongo fleva mh Tanganyika tuna safari ndefu ati huyu naye aje awe rais makubwaa
Hamuogopi, bali anaogopesha!. EL amejaaliwa kitu kinachoitwa karama ya kukubalika ambayo JK hana!.
Wakati wa enzi ya Boys II Men, mikoani wakisikia ni ziara ya JK, ni shangwe tuu miguu juu kwani akiisha tayarishiwa ile taarifa, na kupitishwa kule alikopangiwa, jioni ni kula kunywa siku imepita!.
EL akifanya ziara, haishii kwenye taarifa ya makaratasi, kama amepangiwa kufungua mradi kambi ya Makotupora, kwenye taarifa walisema Msalato vyomba vya madarasa vimekamilika, Ihumwa kisima cha maji kimekamilika na maji yanatoka!, katika ziara yake ya kuelekea Makotupora, kwa vile ndio nji hiyo hiyo, anatangaza kuanzia Msaloto kuona vyumba vya madarasa kisha kupitia Ihumwa kuona kisima ndipo auende Makotu!. Sasa ikatokea kumbe hakuna chumba cha darasa wala mradi wa maji!, kilikuwa kinawaka hapo kwa hapo mbele ya kadamnasi ya watu kwa kutaka maelezo, na kesho yake watu hawana kazi!. Hivyo watu walikuwa wakisikia EL anakuja, ni hakuna kulala!, JK akija ni sherehe tuu!.
Na ndio maana wana CCM wote wenye akili timamu wanaitakia mema nchi hii, mwaka 2015 wanamtaka EL, wasiomtaka ni wale CCM waendekeza matumbo!.
Merry X-Mass
Pasco
mkuu unampigia debe mheshimiwa nini?
Kwani kusali uko zanzibar tena kanisani ndo kawateka wazanzibar kwa kiasi hicho ulichoandika kwenye headin
sijui kwa nini jk anamuogopa lowassa
Unamjua Apson Mwang'onda. Huyo ndo mzee anayeratibu mpingo ya Lowasa