Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya kulipia chumba na hakutokea, si niliambiwa eti dada alizingua dkk ya mwsho, akasema kapata dharuraaa? Au haikua hivyo?

Semaa dada aliyekua ananipa umbea, id yake last seen August 2023 sijui yuko na id ingne, ila maubuyu ya JF nilikua nayapata vyediiii.
🤣🤣🤣🤣 kivumbi leo
 
Jf ina mambo sana, mtu wanaitana shosti nyuma ya pazia anambebea baby wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdomo koma [emoji40]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikua hujuiii? Mbona tushazoeaaaa.
Babee na mdogo angu nyingiii, kumbe bwana anaenda kukutana nae na kupewa 30k.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full tafraniii.
 
toba toba na umeamua kukaa kimy tu na vitu vinafurukuta moyoni kwann sasa, em nidokezee kidog udugu ili nielewe abc bas za "mwanakondoo ameshinda"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaa sio sahihi mie kuzisemaa, na sioni umuhimu wake, couz ni yeye na mambo yake.

Nakua mtazamajii tyuuh, ila JF siku PM zikiwa wazi watu watakimbia id zao. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikua hujuiii? Mbona tushazoeaaaa.
Babee na mdogo angu nyingiii, kumbe bwana anaenda kukutana nae na kupewa 30k.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full tafraniii.
😂😂😂😂😂
Ila watu humu majasiri sana, unakutana na mtu humjui??? Haya ndo madhara yake sasa, lazima waje kudhalilika km hivi!!
Kuna wanawake wanafanya tuonekane so cheap
Yani sate inakudhalilisha?? Pesa ndogo kabisaa ambayo unaweza kuipata bila kudhalilisha utu wako arrrggggg 😡
 
Kumbe hamjalala kama Mimi
1706962733388.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu humu majasiri sana, unakutana na mtu humjui??? Haya ndo madhara yake sasa, lazima waje kudharirika km hivi!!
Kuna wanawake wanafanya tuonekane so cheap
Yani sate inakudhalilisha?? Pesa ndogo kabisaa ambayo unaweza kuipata bila kudhalilisha utu wako arrrggggg [emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kantrii hukutani nae? Tutolee ngenga zako nawee.
Mie tyuuh ndo sijakutana na mtu humu ndaniii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliyekutana nae live, asha RIP [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom