ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,543
- 126,942
That should be my mom's job, not yours.Behave yourself.
That should be my mom's job, not yours.Behave yourself.
Analia lia eti sio kweli. Wakati siku ile kidogo aokote makopo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii mie sitakiwi kupitwa na chochote hapa JF. hebu tumbua majipuu baba, nasema tumbuaaaaaaaaa
Huu hata so umbea mpyaa mbona? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushukur Mungu umbea umekuja mida mizuri la sivyo ungeunguza chakula[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] nyau wew
Marudio 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe story zenyewee za kitambooo na mie nazijuaaa, kuhusu kweli au si kweli wanajua wenyewe, ila habarii ninazooo mda tyuuh.
Yani wamepita kimazabe mazabe sana dah!Yaaaan mm nlikua nishakaa standby kutangaza matuta😀😀😀 DK ya 120 tu nashangaa naona Mpira unaeleza ndan😀😀....
Sema hawa wenyewe kila hatua Wanafika kimungumungu tu😀😀😀😀
Kivumbi leoWe Cheka TU watu wanajiona watakatifu na kujifanya ku judge maisha ya watu yakiletwa Yao jukwaani wanaanza kupanic .
Huyo Mzee na Saint Anne wanakojoleana sana tu kuanzia kipindi Cha corona 2020 to date basi TU acha nitulie
Huyo Saint Anne anawadanganya watu kila siku ni mama mtumishi ila ,,,,,,,, haya bana
Inatosha Kwa Leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina manjegekaa sanaaa ujue, sema huwa mie napotezeaaa, ya humu nayaacha humu humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee na umetulia nazo udugu??
Hata kuniambia dadaako?? Tabia mbaya hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaanMarudio [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpumzishe lecturer wa watu 😂😂😂Huu hata so umbea mpyaa mbona? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nautaka wa lect na dada fudengee, siku hiyo ndo ntakua winja winjaaaa kusebenzukaaaaa.
Shushia maji kidogo usije kabwa na mate.That should be my mom's job, not yours.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe story zenyewee za kitambooo na mie nazijuaaa, kuhusu kweli au si kweli wanajua wenyewe, ila habarii ninazooo mda tyuuh.
Jf ina mambo sana, mtu wanaitana shosti nyuma ya pazia anambebea baby wake 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina manjegekaa sanaaa ujue, sema huwa mie napotezeaaa, ya humu nayaacha humu humu.
Unaweza kuchambana??? Utauponza mdogo wangu 😂😂😂😂toba toba na umeamua kukaa kimy tu na vitu vinafurukuta moyoni kwann sasa, em nidokezee kidog udugu ili nielewe abc bas za "mwanakondoo ameshinda"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya kulipia chumba na hakutokea, si niliambiwa eti dada alizingua dkk ya mwsho, akasema kapata dharuraaa? Au haikua hivyo?Analia lia eti sio kweli. Wakati siku ile kidogo aokote makopo.
🤔Mbabu apunguze ujuaji TU 🫤
Ndiomana huwa nacheka sana humu nikiandikaga kuwa Jf unaa mwingi watu hawanielewagiiii kabisa!Watu wanafki sana Tena hao wanaojifanya eti mi mtoto wa yesu nataka kujenga kanisa sijui nn nn yaani mi nachekaga TU watajijua ila hiyo mbabu apunguze ujuaji TU 🫤
Niandalie mchanga watu wapute wakiwashe 🤣🤣🤣Kivumbi leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshamuacha, tatizo n huyo dada fudenge kunichokoza upuuzi eti. Mbona lect namuheshimu sana tena mnooo.Mpumzishe lecturer wa watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada fudenge yupi? Mtaje kwa codes bas
So, tumemalizana mkuu?Shushia maji kidogo usije kabwa na mate.
Acha unafiki.
Unaweza kuchambana??? Utauponza mdogo wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]