Loving you Mahondaw

Baada ya kukulwa na kuachwa?


Happy birthday Hazardcfc
 
Lamomy naona hupepesi hata kope usije pitwa na koments za Madonger Rabbitus 🤠🤠😁😁😁!

Yausooo🤜🤜 Yausoooo dadeq🤜🤜🤜
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nipepese ili iweje?? Na mi ndo mama wa kusamaraizi 😂😂😂😂
Niko naye sambamba mpk mmoja atupe silaha chini
 
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆

Mali outtt..
90' zikaisha wakaongeza 30 zikaisha wakaongeza 1 Cote de voir wakapenyaa Diarra arudi Yanga sasa hakuna namna!
 
Naomba jibu lako mimi humu mjinga.
Unataka kuniambia Smart911 atamuoa Mahondaw?

Je Smart hana Mke?
Kuna mdau nilisoma mahala kuwa Mslahondaw ana watoto 2 je ni wa Smart911?

Mahondaw hana mume?

Ukinijibu haya humu sitaingia tena
Unataka kuniambia Smart911 atamuoa Mahondaw?
Ndiyo...

Je Smart hana Mke?
Ni Mahondaw

Kuna mdau nilisoma mahala kuwa Mslahondaw ana watoto 2 je ni wa Smart911?
Ndiyo ni wa kwangu...

Mahondaw hana mume?
Ni Smart911

Ukinijibu haya humu sitaingia tena
Kila la kheri...


Cc: Mahondaw
 
Nyie njooonii 🤣🤣🤣🤣
Kesho nna kazi nyingi za kusamaraizi aisee!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…