Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Hahah bro...

The bottomline ni kwamba kuna mwamba anawasugua wachuchu atakavyo, halafu wachuchu wanamgombania mwana kwa kupasiana...

Mchuchu mkubwa yeye ana guts za kuja JF kuanzisha timbwili la asha ngedere na timu yake ya mdundiko kwamba bwana sasa karudi zizini, vinyamkera wote warudi kuzimu...

Mark my words, siku si nyingi unaweza ukaibuka tena uzi hapa wa upande mwingine...
kwani Alieanzisha uzi ninani nyiee???

Halafu yeye anajibu kwa kukoment kama wanavokoment wengine unataka akae kimya tu ye asikoment???

Hahahahahahahahahahh! Ni
Mnanichekessssaaajeee🤣🤣( kwa sauti ya kibogoyo)
 
Hahah bro...

The bottomline ni kwamba kuna mwamba anawasugua wachuchu atakavyo, halafu wachuchu wanamgombania mwana kwa kupasiana...

Mchuchu mkubwa yeye ana guts za kuja JF kuanzisha timbwili la asha ngedere na timu yake ya mdundiko kwamba bwana sasa karudi zizini, vinyamkera wote warudi kuzimu...

Mark my words, siku si nyingi unaweza ukaibuka tena uzi hapa wa upande mwingine...
Unamaanisha kuwa haijaisha hadi iishe?
 
Ni vyema ukafuta hii statement maana rafiki yako alijinyakulia Smart911 na leo ni kilio kwenu. Bisha

That's the real meaning of friendship unakua pamoja na best yako katika jua katika mvua unakua tayari hata kupindisha ukweli ili kumlinda rafiki Nimeipenda hii!
Thou truth won't change no matter what!
Fact itabaki kuwa fact.. Opinion itabaki kuwa opinion na anger pia itabaki kuwa anger!
 
Weee tangu mwanzo unanikandia tu hasimu hebu nitetee namimi one time basi🤣🤣🤠🤠🤠( Kidding )

Basi sawa mwaego wee endelea kuniponda tu

Hahaha sijawahi kukuponda wala kukutetea kwenye hizi hekaheka zenu, mi nasoma tu ushubwada rafiki yangu najua wanijua...

Kama ni comment yeyote basi kwa mara ya kwanza nasema hivi lawama zote ningezitupia kwa mwamba kwa kuwamiksi wachuchu halafu wachuchu wakajua kabisa kwamba wanamiksiwa...

Sisi wanaume tunapaswa kuwa na busara namna ya kuwahandle ninyi wachuchu, hata kama kuna haja ya kucheat basi hutakiwi kabisa kufanya hivyo na wachuchu wako kujuana...

By the way hujanijibu bado yale matoke yangu na isenene, lini nayapata Mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom