Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Huhuuuhuuuu haya nihadithieeShoga nilikuwa nachukua matukio muhimu km mods wangepita na uzi, nipate cha kukuhadithia 😂😂😂
Huhuuuhuuuu haya nihadithieeShoga nilikuwa nachukua matukio muhimu km mods wangepita na uzi, nipate cha kukuhadithia 😂😂😂
Da maua akilewa ni kama hajalewa tuNimesikia 🤣🤣🤣
Da maua jana alilewa sana
Unachart sana weh watakuibia saivo unatakiwa kulipika jina la shemeji yetu upo huku ujiaminisha acha hizo nenda kajiandae uvae shanga unukie bibie uanze kumpikia madiko diko au wewe sio mtanga ?? Nimeishi Tanga ukirudiana na bwana au bwana ni zamu yako unakuwa asilimia 90 uko unamkatia kiuno hatari unajiandaa bibie kwa mauno eh na mengineMwenye Kisu kikali 🤠🤠🤠🤠!
Mi mbona ntakosa nyama kabisa sasa lol!
Cc: Mahondaw 😢🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Acheni uchokozi nyie wanaDa maua akilewa ni kama hajalewa tu
🤣🤣🤣King prawns with mashed potato...anifungie na sexy on the beach ya kuisindikizia ubuyuuHahahahahahaha...umemmiss pishi la Chief Vijay eeh ....haya Rafiki ..nini aandae ..
Sio kwa maho/ Anto! NeverHaha, siku hizi mwenye kisu butu nae anakula mkuu.
MwagaaaaNdo naingia sis 🤣🤣🤣🤣
No problemNatulia hapa hapa, halafu pm yangu imepata shida kidogo msione kimya ndugu zangu😐.
Labda nyie ila sio mimi !Daah! Hatari sana
Unaeza kujikuta umemnyima mchezo Watu8 akaamua kujivua gamba akajiita Shimba ya Buyenze akakupata 😂😂
Mie ndio maana naambia watu ukiamua kumkataa mtu humu basi wakatae wote tu manake unaweza kujikuta unazunguka bure tu
Sheillah!!!!! Ole mwane palangwiiiiiAllah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.
Mwanaume ukiachana nae na ukamchafua huwa anapanga kisasi. Atafanya chochote mrudiane ili wewe uliyetumika kumchafua utumike pia kumsafisha. Kama usipokuwa na akili utaona kilichomrudisha kwako ni mapenzi kumbe karudi kujishafisha dhidi ya uzushi ulizomzushia kipindi alikuacha.
Hamna mapenzi hapo, penzi likifa limekufa utalazimisha liendelee kuishi ila mambo hayawezi kuwa sawa kama ilivyokuwa awali. Huyu akimaliza kujisafisha juu ya kusambaza STDs kwa baadhi ya ladies humu ataondoka ikukuacha ukiwa hauna njia nyingine tena ya kumchafua.
Amefanikiwa kukufanya umeze matapishi yako.
Halafu hamna upendo kwenye kutukanana. Mwanaume akikutukana ni udhalilishaji na ni kwa sababu amekudharau. Na akirudi kukuambia anakupenda ni kwa sababu anataka aone kama una akili au bado ni mjinga. Usiruhusu dharau kwa kigezo kwamba ndio mapenzi yenyewe. Mtu anayekupenda akakulinda na kukuheshimu.
Weweeeeee kungwi tumepata Lamomy Ms eyes JoannahUnachart sana weh watakuibia saivo unatakiwa kulipika jina la shemeji yetu upo huku ujiaminisha acha hizo nenda kajiandae uvae shanga unukie bibie uanze kumpikia madiko diko au wewe sio mtanga ?? Nimeishi Tanga ukirudiana na bwana au bwana ni zamu yako unakuwa asilimia 90 uko unamkatia kiuno hatari unajiandaa bibie kwa mauno eh na mengine
Sharing is caring madam!! Mwamba akivua gamba njemba ina~cover for the given time. You're not alone in this madam, weee all victims.Sio kwa maho/ Anto! Never
Umenifanya nikague ID's pamoja nakujiangalia kwenye kioo,kumbe mimi bado kijana kabisa kabisa,mwenye nguvu za kumwaga.hayo mambo mnayaweza nyie vijana tumewaachia wazee 🤣🤣tumestaafu
unapenda kuona mioyo ya wenzio ikiruka ruka eeee kwa wivu hhahahaha unagubu😅
Tulia kwanza tumalize hili, utanichanganya kutunza mafile masijala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa hachangamki mimi nitaamsha koloni jingine huku
HahahahaBabu unataka kusema alikimbia Hadi nomino![]()