Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
🤣🤣🤣 Ngoja niweke mambo sawa nisipitwe, selfika nilipitwa hapa leo sikubali.We unalala sana bwana🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Ngoja niweke mambo sawa nisipitwe, selfika nilipitwa hapa leo sikubali.We unalala sana bwana🤣🤣🤣
Jmn jmn kweli rfk wa kweli ni coca tu 🤣🤣Waasi wifi zangu wa kaskazini uko.!!
Nasemaje mawifi msikubali njooni tumpindue huyu bi mkubwa 😂😂😂
Mimi naishi navyotaka mmi sio kuperekeahwa namna hiyoMfyuuuuh!!
Huna maokotoo trokaaaaa, kuwa na maokotoo ntakuanzishia na uzi.
Santo sana kakalakeeeee 🙏And we got no doubt... Too deep in love and we got no way out... And the message is clear...
This could be the year for the real thing... No more will you cry... We start and end as one...
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi JF wanalipa content kama hizi?au sisi twende zetu TikTok?itabidi boss Maxence Melo aanze kulipa content kama hizi jamani.Tangu leo ba hata milele. Huba lako nitalienzi na kulitunza mama...hem tutengeneze series tuuze sisi🤣🤣
Shoga nilikuwa nachukua matukio muhimu km mods wangepita na uzi, nipate cha kukuhadithia 😂😂😂hujaniita
🤣🤣🤣🤣Huku umetundikiwa drp la damu huku unakula ubuyuLeo bora uishiwe damu ila sio bundle
Si ndiyo🤣🤣🤣🤣Huku umetundikiwa drp la damu huku unakula ubuyu
Tulia hapa🤣🤣🤣 Ngoja niweke mambo sawa nisipitwe, selfika nilipitwa hapa leo sikubali.
Hatutakii kufukua makaburi😁😁😁Nyie Kuna Uzi naitafuta nimesahau heading 🤣
Uweeee sema kweli ???🤠🤭!Dada sikia tu ombi/kilio cha mwenzio kwa kweli.
Tangu zile "cc" zikome..jamaa yetu amekuwa kama zombi.
Kha ulikuwa wapi na wewe watu mahaba hadharani
Natulia hapa hapa, halafu pm yangu imepata shida kidogo msione kimya ndugu zangu😐.Tulia hapa
Sawa shem tawile we Missy Gf bff njoo upate muongozo kwa shem la dunia..!!
Ndio naingia sasa hivi hapa, mambo mengi mjini hapa🤣🤣🤣Kha ulikuwa wapi na wewe watu mahaba hadharani
Mwenye Kisu kikali 🤠🤠🤠🤠!Hata kama nimezeeka nitapiga kura ya hapana kwaajili ya Wajukuu zangu.
Principal iwe mwenye kisu kikali ndiyo akate nyama kubwa 😜
Wewe mambo sweety mom🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Ndo naingia sis 🤣🤣🤣🤣Kesho imeshafika,hebu aamka uanze samaraizesheni
Yeahhhhh!Love is beautiful thing