Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,347
Kungwi tena
Kungwi tena
Shoga ebu tulia kwanza kidogo nijaze ripoti ya jana 😂😂😂Huhuuuhuuuu haya nihadithiee
Maua wangu 😘😘😘😘Wewe mambo sweety mom
Huyo kungwi wa kimataifa 😂😂😂
Kungwi tunae 😂
inani burudisha nikiyumba yumbaa osaaaana ameeeen 🎶🎶🎶🎶🎶🔥🤣🤣🙌
Bwana anataka hoja zenye nguvu
Nina Siri nae Yesu yanifanya niwe jasiri✌️ by Israel
Hebu tuwekee hiki kibao mpendwa
Namie kwa akili zangu mbili kasoro Nakumbuka kabisa niwewe ulisema hio kauli 😊!Japo sijakuelewa ila sio mimi
Usinisingizie
🤣🤣🤣🤣 Mi nachangamsha kijiwe..!!Jmn jmn kweli rfk wa kweli ni coca tu 🤣🤣
Huyu wifi hafai,anaimba na kupuliza
Shida yako tu,unataka niwatukane matusi JF ladies waliopo kwa kukufananisha nawe.Wajanja wameshakubeba😢
Jana nilikuwa busy sana 🤣🤣🤣
Wengine sijibu, tutakutana humu humu 😂😂😂Nakuonea huruma
Notification 200+🙌🙌
Mi 80+ tu nimejipnea shida
🤣🤣🤣🤣🤣Ila maua nyie akili zake
Udugu umeweza lete namba hizo za mtaalamu 🤣🤣🤣Hakii nakugawa Lamomy! Wee ni mwehu ujue!
Hahahahahahaha...hahahahahaha..ngoja nimfowardie chefs 👨🍳🤣🤣🤣King prawns with mashed potato...anifungie na sexy on the beach ya kuisindikizia ubuyuu