Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Very interesting story on how you two guys met...

You made a very unique Couple over here.

Few couples came and gone, but yours still alive.

People might talk and sneering at your back, but never lose focus

On behalf of all Old men here and there, we wish you all best of luck 🙏
Aamin Aamin babu senkyuuuu!

That's what means by unconditional love!
No matter the challenges no matter the obstacles , the circumstances unamsikiliza mwenzio na kumuelewa kuvumilia madhaifu yake na to support each other!
 
Allah atujalie wanawake tuwe na uwezo wa kujitambua.

Mwanaume ukiachana nae na ukamchafua huwa anapanga kisasi. Atafanya chochote mrudiane ili wewe uliyetumika kumchafua utumike pia kumsafisha. Kama usipokuwa na akili utaona kilichomrudisha kwako ni mapenzi kumbe karudi kujishafisha dhidi ya uzushi ulizomzushia kipindi alikuacha.

Hamna mapenzi hapo, penzi likifa limekufa utalazimisha liendelee kuishi ila mambo hayawezi kuwa sawa kama ilivyokuwa awali. Huyu akimaliza kujisafisha juu ya kusambaza STDs kwa baadhi ya ladies humu ataondoka ikukuacha ukiwa hauna njia nyingine tena ya kumchafua.

Amefanikiwa kukufanya umeze matapishi yako.

Halafu hamna upendo kwenye kutukanana. Mwanaume akikutukana ni udhalilishaji na ni kwa sababu amekudharau. Na akirudi kukuambia anakupenda ni kwa sababu anataka aone kama una akili au bado ni mjinga. Usiruhusu dharau kwa kigezo kwamba ndio mapenzi yenyewe. Mtu anayekupenda akakulinda na kukuheshimu.
Ukweli mchungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom