Baby al never give up on you.Ww mganga fake 🤣🤣
Coca tu umeshindwa kumdhibiti mpk anachukuliwa na kina kirikou Fabian Vitus 😂😂😂 ndo utaweza kunirogea yule jamaa??
Baby al never give up on you.Ww mganga fake 🤣🤣
Coca tu umeshindwa kumdhibiti mpk anachukuliwa na kina kirikou Fabian Vitus 😂😂😂 ndo utaweza kunirogea yule jamaa??
Mmeanza🙄
Kwakweli bora wamepotea tu.amani imetawala.tuachane na yaliyopita tugange yajayo.Hakuna pamepoa sana watu wapo busy sana wengi wamepotea humu.
Siunitag hata nilalena jamboHawa ni kweli na kulikua mpk na mpambano wa kugombania huyo mwanaume.!!
We nawe uko wapi??
Acha tyuuu!! Kutesa kwa zamu 😂😂😂Hahahahahaha..kwahy kuna walioshindwa saa hz wanasoma namba tu ?
Hatambi yeye ni njemba ndo imeweka silaha chiniKwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Hajamboo sana sema hukuwepo siku mingi ila anawasalimia wote wanaonipendaKwakweli bora wamepotea tu.amani imetawala.tuachane na yaliyopita tugange yajayo.
Shemeji yetu hajambo?
Hahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipangaAcha tyuuu!! Kutesa kwa zamu 😂😂😂
Mtu kashika simu anawarusha roho na ID ya mutu mnaanza kuandikuana mnaninyima umbeyaAcha tyuuu!! Kutesa kwa zamu 😂😂😂
Hadi wewe unaninyima ubuyuHahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipanga
Pasua kichwa wapo humu pia, be carefulKuanzisha mahusiano humu ni sawa na kubeti moyo yaani lolote linaweza tokea 😁
Anawarusha roho wenzakeHatambi yeye ni njemba ndo imeweka silaha chini
Au unataka kusema hii simu kashika jenero in chaji😁
Anakomment chini ya mwamvuli wa😂
Wazee hizi Mvi zinatusaidia mengi 🤗Naaam, namimi nimeunga mguu hoja
😂😂😂 Kajificha kwenye kona anachungulia kwa mbaliHahahahahaha kuna yule aliweka avata ya mchizi hivi yupo ? au anajipanga
Ntafute kesho nikupe 😂😂😂Mtu kashika simu anawarusha roho na ID ya mutu mnaanza kuandikuana mnaninyima umbeya
Shogaangu punguza umbea 😅😅😅Kwa msioelewa ngoja niwasamaraizie msipitwe na udambu udambu, unajua wambea hatunyimani ubuyu!!
Iko hivi baada ya penzi la Mahondaw na Smart911 kusumbua sana miaka iliyopita, wakatokea waasi wakapindua serikali ya chama tawala…..ikaenda vurugu ya hapa na pale chama tawala kikijitahidi kurudi madarakani lkn wapinzani wakagoma.!!
Bibie akaona isiwe shida akaingia chimbo kujifua, uko ndio kaibuka na mabomu kasambaratisha waasi wote 😂😂😂
Sasa hivi karudisha uongozi wake anatamba km hivyo.!!
Weeee mwenye ile picha ya jamaa kabeba viti vingi aipost hapaNo one understands you as I do Smart!
Mi Amor uuuuuu babe wanguuuu (Hii code mix sasa 😘🤠)
Tutagombanaaa tutatukananaaa mwisho wa siku💕💕💕💕💕 nyieeee true love never die