Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,847
Tulia sasa 😂😂Kwa kwli afanye kunipa formula hiyooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia sasa 😂😂Kwa kwli afanye kunipa formula hiyooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa babaWe mama mchungaji Tayana-wog utu ombee😄🤣
Bwanaaa wee Embu wataje siye tuburudike, 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu huu uzi wa mahaba, nongwaa tuziacheee.
Tambaaaaaa shouzzz tambaaaa, yaan rusha wake wenzio rohoo hadi wajute kukufahamuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee ndo unajua leo??!!! Namjua Smart na mambo yake yoooooteee yanii yooooote hata usiyoyajuaa mimi nayajuaa!
Anyways asante kwa muongozo mwaego[emoji4]!
Polee relaxx unywe maji mengi
Nazima na data sasa mrare unono!!
Peace and love [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Mahondaw wa Smart911
Haya kama unajua kweli wasiwajui hata kwa nusu robo siwezi zima dat leo weekend kesho ni siku yakufua na kufanya oral cleaning . Jingine unapendaga kuvaa madira ??Weee ndo unajua leo??!!! Namjua Smart na mambo yake yoooooteee yanii yooooote hata usiyoyajuaa mimi nayajuaa!
Anyways asante kwa muongozo mwaego🤣!
Polee relaxx unywe maji mengi
Nazima na data sasa mrare unono!!
Peace and love ✌️✌️✌️✌️✌️!
Mahondaw wa Smart911
Muambie mahondaw anawajua wenzie, atakutajia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwanaaa wee Embu wataje siye tuburudike, [emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu kuna watu kesho wata amkia mloganzira, wallah nakuambiaaa hiviii.
Kiharusi cha ghaflaa unakijua wee?
Tena ukalie kabisaa, mwenzio nimeuinamia huku naswampaa JF.Jamanii hebu niukumbatie nisije achika Kisa Jf [emoji205][emoji16][emoji16]
Wataje wewe bhana 😂😂😂Muambie mahondaw anawajua wenzie, atakutajia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tambaaaa shouzzzz tambaaaa, wakati wako huu.
Wa msomali? 🤣🤣🤣Jamanii hebu niukumbatie nisije achika Kisa Jf 🐒😁😁
Unaweza kweli mimi huwa akili inaruka kabisa siwezi shika mawili 😁😁😁Tena ukalie kabisaa, mwenzio nimeuinamia huku naswampaa JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mda wa maraha 😍Wa msomali? 🤣🤣🤣
Kwahiyo unaenda kuukalia 😂😂😂Weee ndo unajua leo??!!! Namjua Smart na mambo yake yoooooteee yanii yooooote hata usiyoyajuaa mimi nayajuaa!
Anyways asante kwa muongozo mwaego😊!
Polee relaxx unywe maji mengi
Nazima na data sasa mrare unono!!
Peace and love ✌️✌️✌️✌️✌️!
Mahondaw wa Smart911
Alipigaje hapo,🤣🤣Udugu kwan wale bibi wengine wadogo wako wapi?? Mbona udugu anatamba sana kwan alipigaje?? 🤣🤣🤣
Ukalie shoo kwa raha zako..!!Ndio mda wa maraha 😍