Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,068
- 95,656
Nisha umuaa🤣😄, mapema naenda uzaa🤣🤒Wanakuzingua sana Mr deli wangu achana nao we nenda zako kaumue vitumbuaaa
Nisha umuaa🤣😄, mapema naenda uzaa🤣🤒Wanakuzingua sana Mr deli wangu achana nao we nenda zako kaumue vitumbuaaa
Since last week Wana nitag ujingaa, na Nisha mwambia habari za mahusiano uchwaraa sitakiii.Duh ,sawa🤪
Ila uwe unapunguza ukali wa maneno ht km umeudhiwa ndugu!
Mshaanza nongwa 🤣🤣🤣Huu Uzi hauna maisha
Binti chuga Ume Waka😄🤒Siku ukijiwekea hot seat/ qn & answers, usisahau kunitag. Smart911
Huyu ni alikuwa mtani wangu bwana sasa kaja juu hadi kanitunitukana msenge kosa sio langu ninamtaniaga ila kaniuzi angenitukania mama yangu weh ningemzimaDa maua kalale ushalewa inatosha 😂😂
Da maua kalale leo umekunywa sana ujue 🤣🤣🤣Ukisoma post it's okay ila katika kujibu watu sasa wote wawili yaani utaona ni mtu mmoja anajibu nakujijibu sasa hapo ndio maoni yangu ila sina ushahidi. Wakuprove what i discover
I only love you, my 💓💓💓Kumbe unasumbua baby uko pm ujue mimi sitogombana na Wanawake wenzangu nitadili nawewe 🤨😀😀
Kanywa Nini Leo mbona mpole sana?Kila nikimchokoza hata hanichambi?Da maua kalale leo umekunywa sana ujue 🤣🤣🤣
Nahisi halafu pombe hii sinimepewa kama zawadi basi inaniendesha kiasiDa maua kalale leo umekunywa sana ujue 🤣🤣🤣
You will always be my friend, ila habari za mahusiano uchwaraa sitaki🙏🙏.Ujinga ?? Tumeacha nenda kwa amani hii jf ina b1. Na mapoint tutapata mabest wengine sio.lazima.wewe.mwenyewe unajiona sana ila siye tumeshasahau matusi yako hujaanza wewe
Sasa ole wako baada ya muda uanze kumkana kaka, wengine tupo JF kutunza makabrasha tuuu, siku ikifika tunafukua makaburi.I only love you, my![]()
Mimi nishakwambia kanuni yangu ni moja nikisikia,nikihisi,nikijua una baby humu mimi na wewe kushineiii,Mapenzi ya nenda rudi siwezi 🏃🏽♀️I only love you, my 💓💓💓
Kabesaaaaaaa eeeeh au vepe!work up🤣🤣🤣🤣🤣Hio sio kesi kwetu kabeeeeeeeeesa
Sawa lkn ungemwambia tu bila maneno makaliSince last week Wana nitag ujingaa, na Nisha mwambia habari za mahusiano uchwaraa sitakiii.
😂😂😂 Sinaga hizo, nimefundwa nikafundika dada..!!Ila JF!nasubiri na wewe ulewe uje uyabwageeee...