Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,121
Wanakuzingua sana Mr deli wangu achana nao we nenda zako kaumue vitumbuaaaWe umeona since week ile Wana nitag ujinga tu🤣😄
Wanakuzingua sana Mr deli wangu achana nao we nenda zako kaumue vitumbuaaaWe umeona since week ile Wana nitag ujinga tu🤣😄
Hebu reload machine gun🤣😄Wewe hebu tuliza munkali...
Kumbe unasumbua baby uko pm ujue mimi sitogombana na Wanawake wenzangu nitadili nawewe 🤨😀😀My 💓💓 uwe una sema bhana🤒.
Ujinga ?? Tumeacha nenda kwa amani hii jf ina b1. Na mapoint tutapata mabest wengine sio.lazima.wewe.mwenyewe unajiona sana ila siye tumeshasahau matusi yako hujaanza weweWe umeona since week ile Wana nitag ujinga tu🤣😄
Vipi hali ya Arusha ikoje?? Baridi na uko mafuriko mengi?? 😂Nimejaa..
😅Polee Muda haujafika utapata wakoMm niko singo mkuu
🤣🤣🤣🤣Me sitakiiiWe umejuaje?? Unafanya kazi jf? Da maua utauponza 😂😂😂
Kasinziaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dada shemeji umemuacha na nani usiku wote huu??
Huku kwa masingle muda huu
Maua leo ananisumbua wallahi hadi sio poa.!! 😂😂😂KUMEKUCHAAAA da mau kaanzaa wehu...ana jipya ganii Sasa,?mwambie we unamjua Countrywide tu
Sasa jamani kama ndio nimehisi kuhisi sio kosa ika kosa nikumaanisha jamaniWe umejuaje?? Unafanya kazi jf? Da maua utauponza 😂😂😂
🤣🤣🤣 Nacheka mpk kiuno kinauma🤣🤣🤣🤣Me sitakiii
Kasinziaa🤣🤣🤣🤣
Ila JF!nasubiri na wewe ulewe uje uyabwageeee...🤣🤣🤣 Nacheka mpk kiuno kinauma
Jamani acha kunionea basi mie nimesema tu sina jipya ninamjua nani zaidi yako chart tu. Mie namtegemea Lamomy ndio nikamtagKUMEKUCHAAAA da mau kaanzaa wehu...ana jipya ganii Sasa,?mwambie we unamjua Countrywide tu
Kwani ilikuwaje?National Anthem yukwapi
Aone hii post. Aingie uvunguni apige ukunga.
Ameshaoa mwaka jana ila kisiri sana hajakuagaNational Anthem yukwapi
Aone hii post. Aingie uvunguni apige ukunga.
Duh ,sawa🤪Oya acha mazoea ya kichoko Basi, mbona Mna penda Kiki za kingese Sana.
👉Mbona mna force mambo aisee, lini Nisha kutana nae???.
Sitaki mazoea ya ki mbwa, nitakuja ongea kitu muumie bogus kabisa.
Kila Saa Mimi, kwani Hakuna jf member wengine mpaka daily mimi tu?????
Sitakiiiiiii, na sihitajiiii ujinga wako, jf mi shabiki wa Nuzulati, Sasa Huyo ndugu yako was kazi gani!!!
Huu Uzi hauna maishaMwanajeshi yuko kambini 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🙌😁😁 unataka tupigwe ban au uzi wa watu ufutwe?
Umehisi nini?? Unajua maua unanivuruga kuna content muhimu nahifadhi 😂😂😂Sasa jamani kama ndio nimehisi kuhisi sio kosa ika kosa nikumaanisha jamani
Da maua kalale ushalewa inatosha 😂😂Nafukua makaratashi ya vibuti Intelligent businessman ulitoa post kwa Lovelovie kipenzi changu akakutema kisa una umbo kama la mangi 🤣🤣🤣🤣 kipara peh kama cha pimbi, unavaa vishati vya ajabu ajabu unatisha unahema hema na kuongea haraka na kuvaa miwani kama enzi za ko za milembe umetoka tu ukatangaza nia ndio maana ukakataliwa mwenzio aliogopa kama hujapona vizuri.