Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,681
- 54,502
We Nuzulati vipi,Mtu lazima aonje na matembele,bamia sio Kila siku mchicha🤣🤣🤣🤣Mimi nishakwambia kanuni yangu ni moja nikisikia,nikihisi,nikijua una baby humu mimi na wewe kushineiii,Mapenzi ya nenda rudi siwezi 🏃🏽♀️