Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,846
Unique Flower da maua kuna mtu anataka muongozo 😜Wacha na mimi niokotezeokoteze humuhumu aise
Unique Flower da maua kuna mtu anataka muongozo 😜Wacha na mimi niokotezeokoteze humuhumu aise
Fungua PM tuyajenge mwana falsafA🤔Mwaka wa kumi sasa niko jf sijawah kutana na mdada wa huku. Inabidi nifanye mpango nipate pisi ya huku sasa
Udugu leo umeonja??Here since 2016 kaa kwa kutuliaaa bwahahahahahahahahah
Forever and always babe ake kimimiiii💕💕💕💕
Wanini tafadhali namie naomba muongozo hivi mtoa mada umewahi muona kwa macho halafu nitakuambia kituUnique Flower da maua kuna mtu anataka muongozo 😜
Dah hata course ya udaktari mngekuwa mmemaliza,si akuoe Sasa🤣🤣🤣🤣Here since 2016 kaa kwa kutuliaaa bwahahahahahahahahah
Forever and always babe ake kimimiiii💕💕💕💕
Anto una nn lkn Leo🤣🤣🤣🤣Here since 2016 kaa kwa kutuliaaa bwahahahahahahahahah
Forever and always babe ake kimimiiii💕💕💕💕
Hio sio kesi kwetu kabeeeeeeeeesaDah hata course ya udaktari mngekuwa mmemaliza,si akuoe Sasa🤣🤣🤣🤣
Wooooh hatimaye zamu yangu ya kula mema ya nchi imefika. Pm yamgu ipo wazi tafadhali just dm meFungua PM tuyajenge mwana falsafA🤔
Hahahahaha,khaa hii series itakua kali sana basiNa wao watakua wanajipanga
Jf tunaishi watu wasiojulikana da maua hatuoanani!! Kuna tatizo kwan?? 🤣🤣🤣Wanini tafadhali namie naomba muongozo hivi mtoa mada umewahi muona kwa macho halafu nitakuambia kitu
Aamin aamin kipenzi! 🙏Hongereni sana kila la kheri kwenu.❤️
🤣🤣🤣 dada shemeji umemuacha na nani usiku wote huu??Dah hata course ya udaktari mngekuwa mmemaliza,si akuoe Sasa🤣🤣🤣🤣
🤠🤠🤠Hahahahaha,khaa hii series itakua kali sana basi
Mm niko singo mkuuHongereni sana kila la kheri kwenu.❤️
Mbona kama ni mtu mmoja anaoperate hizi ID sina uwakika ila nahisi hiloJf tunaishi watu wasiojulikana da maua hatuoanani!! Kuna tatizo kwan?? 🤣🤣🤣
We umeona since week ile Wana nitag ujinga tu🤣😄Oya Mr Deli mbona povu🤣🤣🤣
Shosti upo?? 🤣🤣Mambo?
Niambie..
Hulali? 😂😂😂
We umejuaje?? Unafanya kazi jf? Da maua utauponza 😂😂😂Mbona kama ni mtu mmoja anaoperate hizi ID sina uwakika ila nahisi hilo