Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Najikaza kidogo si unajua mwanaume hadeki😂😂😂😂😂 Mgonjwa umepona??
Najikaza kidogo si unajua mwanaume hadeki😂😂😂😂😂 Mgonjwa umepona??
Dada zangu wa wapi tena😂Dada zako wameporwa mume ww unachekelea?? 🤣🤣🤣🤣
Mawifi nawapambania ila bro wenu anazingua hayupo upande wenu kabisaa
Mhmm!! Mwanaume unadeka ww sijapata kuona.!! 🤣🤣🤣Najikaza kidogo si unajua mwanaume hadeki😂
Kaskazini, ina maana ww hujui km smart alikuwa shemeji yako?? 😂😂😂Dada zangu wa wapi tena😂
😂😂😂😂 wii mapembeloUnanifurahishaga tu wifiyangu 😀😀😀hauna shughuli ndogo
Uongo, hapa kazi tu😂Mhmm!! Mwanaume unadeka ww sijapata kuona.!! 🤣🤣🤣
Umenishinda hadi mi last born
Samalekooo 🖐️!Uongo, hapa kazi tu😂
Dada niliyenae kaskazini ni Carleen, Sasa useme ni yupi na yupi hao wengine maana huenda sijajuaKaskazini, ina maana ww hujui km smart alikuwa shemeji yako?? 😂😂😂
Sema mawifi msijali lazima nifanye mambo uduguu awarudishie bebi wenu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Aamin aamin!
🤠🤠🤠🤠! Acha adeke wako wachache na wanagombaniwa ujue 😁!Mhmm!! Mwanaume unadeka ww sijapata kuona.!! 🤣🤣🤣
Umenishinda hadi mi last born
Nipo mambo mengi tu mtu wanguSamalekooo 🖐️!
Lamomy amejua kukuficha doh! Nafurahi kukuona tena rafiki
"Hahahaha"Ukiulizwa unachofanya utajibuje
Tuhamie upi sasa udugu? [emoji23][emoji23][emoji23]Ipo siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu uzi ushanichosha huu, tuhamie mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu aliniuliza hivi mpaji Mungu mnafahamiana uko kkoo.??
Inaonekana ana pesa, kuna sehemu nimeona kachangia pesa nyingi.!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema mamaah.!! Winga kafikiwa kupewa kipochi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwani wapi ulichangia pesa nyingi kaka??
Dadaako nadaiwa pesa na mchina hutaki kuniongezea..!! [emoji23][emoji23]
Uongo 😂😂😂Uongo, hapa kazi tu😂
Kuwa bize inapendeza sana mara moja moja kama hivi unaibuka kutusabahi jf. Nimeipenda hiiNipo mambo mengi tu mtu wangu
Mmeo anakazi sana, hivyo anapendezwa na umbea wako kweli?😁😁😂😂😂😂 Mgonjwa umepona??
😂😂😂😂 Waasi wako wengi tatizo muda wowote wanaweza kunipinduaSamalekooo 🖐️!
Lamomy amejua kukuficha doh! Nafurahi kukuona tena rafiki