Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,942
Kumbuka vizuri binamu zako wa kule njiro bhana 🤣🤣🤣Dada niliyenae kaskazini ni Carleen, Sasa useme ni yupi na yupi hao wengine maana huenda sijajua
Halafu Ntakuchapa ujue
Kumbuka vizuri binamu zako wa kule njiro bhana 🤣🤣🤣Dada niliyenae kaskazini ni Carleen, Sasa useme ni yupi na yupi hao wengine maana huenda sijajua
Ahahaaaa...! Wasister wa humu mna maneno I see.
Duuh...!. Kwa hiyo jamaaa hapa kalazimishwa ashushe Uzi mzima ndio atasamehewa?Hawa ni kweli na kulikua mpk na mpambano wa kugombania huyo mwanaume.!!
We nawe uko wapi??
Kwanza watamuweza?? 😂😂😂🤠🤠🤠🤠! Acha adeke wako wachache na wanagombaniwa ujue 😁!
Weeeeeeee wewe ni jeshi kubwa sio rahisi kihivooo!😂😂😂😂 Waasi wako wengi tatizo muda wowote wanaweza kunipindua
Kwa da mau kuna uzi wake unachekesha balaa hebu kaupitie utanue mbavu 😂😂😂Tuhamie upi sasa udugu?![]()
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣! Akili zenu zinafanana kama za SM ( SmartMaho) mtadumu. Inapendeza sana kuwa na mtu mnaeendana akili na udambwiudambwi fulaniKwanza watamuweza?? 😂😂😂
Nikiwapa hata nusu saa haishi wananirudishia wenyewe.!!
Huyo kichwa nakijulia mimi tyuu!!
Ww dogo miyeyusho sana, ww kweli wa kumuita shemeji yako sele?Tuhamie upi sasa udugu?![]()
Tena anataka kunifungulia app kabisaaa.!!😂😂😂Mmeo anakazi sana, hivyo anapendezwa na umbea wako kweli?😁😁
😂😂😂😂 Eee ndioDuuh...!. Kwa hiyo jamaaa hapa kalazimishwa ashushe Uzi mzima ndio atasamehewa?
Yes mtu wangu, fanya kile unapenda mtu asikupangie chochoteKuwa bize inapendeza sana mara moja moja kama hivi unaibuka kutusabahi jf. Nimeipenda hii
Nina silaha nzito nzito za kivita 😂😂😂Weeeeeeee wewe ni jeshi kubwa sio rahisi kihivooo!
Tunagombana saa mbili ikifika saa 7 tumeelewana, tunagombana tena saa 10 ikifika saa 4 usiku tumeelewana 😂Kwanza watamuweza?? 😂😂😂
Nikiwapa hata nusu saa haishi wananirudishia wenyewe.!!
Huyo kichwa nakijulia mimi tyuu!!
Kam kauwaa Kipendacho rrrrrokho ausio!Yes mtu wangu, fanya kile unapenda mtu asikupangie chochote
Ziko furrruuuuuuuuuuuu! Hauhitaji kuazima wala nenee!Nina silaha nzito nzito za kivita 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣! Akili zenu zinafanana kama za SM ( SmartMaho) mtadumu. Inapendeza sana kuwa na mtu mnaeendana akili na udambwiudambwi fulani
Ww usiweke kona kona sema flani😂Kumbuka vizuri binamu zako wa kule njiro bhana 🤣🤣🤣
Halafu Ntakuchapa ujue
Akili zenyu mnazijua wenyewe 😁😂😂😂😂
😂😂😂😂 Ila unanijulia mwanaume wewe.!!Tunagombana saa mbili ikifika saa 7 tumeelewana, tunagombana tena saa 10 ikifika saa 4 usiku tumeelewana 😂
Safi sana, mume na amlinde mkewe CountrywideTena anataka kunifungulia app kabisaaa.!!😂😂😂
Mume wangu ananipenda mpk ananipenda tena, na ukitaka kujua rangi zake we nizingue uone..!! Kinga vs Chagga moto unawaka