Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,974
- 177,195
๐คNimekaa pale
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Mie pia nimekaaaa kuleeeeeeeee๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mambo yao waachie wenyewe
๐คNimekaa pale
Niache basi ๐๐๐๐Namba E ni mwendo wa kuzivalia mpira...afu hata hawapo fertile kama nyie mabinti wa 90's
Sema mwangu acha kunihusianisha na hyo namba chafu ๐๐mm sitaki demu nikitaka naingia humu alfu thate nakojoa vitatu natembea mbeleNakusemea kwa da mau
Nimecheka mpaka nimegalagala.hahahahahaha..
Ebu njoo PM kwanza!! Ila asiwe tu Nyani Ngabu maana sitakuelewa
ahahahaha.. Sawa dadaangu..Nimecheka mpaka nimegalagala.
Never! Ni bora nibaki single milele.
Sasa nikija PM si nitaharibu surprise? Subiri siku nitakushtukiza.
Nilishamwambia wewe ndio kaka yangu wa ukweli hapa, hana shida.ahahahaha.. Sawa dadaangu..
Lakini I hope amenisamehe hiyo saga ya 2014
Nilikuwa nimesinzia Mjukuu, maana umri huu wa 78+ Usingizi ni kugusa tu ๐๐คKimya usiku mwema
Mimi umri umesonga, Wacha nifurahie Pension yangu tu ๐คKasema atakupa slow motion ๐๐๐
Nilikuwa nimesinzia Mjukuu ๐Babu umekimbia ๐
Nipo rafiki mambo mengi kwa ground, hapa enyewe kuna mtu kaniambia ingiaNdoyeye rafiki. Thank youuuuu
Umepotea kiaina humu ila ndo vizuri sometimes!
Ni vile wanadamu tunawashwa tu kuongea.Nilichoelewa na wengi mmeshindwa kumuelewa antonnia ni je kufanya hivi kosa lipo wapi?
Wakiamua kuachana wameamua wao, wakiamua kurudiana wameamua wao sisi hatupaswi kuhoji sana wala kufatilia sana, ni wao wameamua. Kwa kifupi ni maamuzi yao ambayo sisi hayatuhusu kabisa. Ndio maana anasema mambo yao tuwaachie wenyewe
๐๐๐๐ Mgonjwa umepona??Nipo rafiki mambo mengi kwa ground, hapa enyewe kuna mtu kaniambia ingia
Dada zako wameporwa mume ww unachekelea?? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNilichoelewa na wengi mmeshindwa kumuelewa antonnia ni je kufanya hivi kosa lipo wapi?
Wakiamua kuachana wameamua wao, wakiamua kurudiana wameamua wao sisi hatupaswi kuhoji sana wala kufatilia sana, ni wao wameamua. Kwa kifupi ni maamuzi yao ambayo sisi hayatuhusu kabisa. Ndio maana anasema mambo yao tuwaachie wenyewe