Loving you Mahondaw

Loving you Mahondaw

Namtania tu Lamomy, sija attack mrebo yoyote hapa, sawa cheupe.
Mi sio tu kutania bro, kifupi sitaki shobo ya kujuana na watu nje ya jf..!!
Humu unaa mwingi, kwanza mtu mmoja ana id zaidi ya 100 na zote anacheza nazo, akiamua anakuwa mwanaume and the same time anakuwa wa kike.!!!
Na ana play adui na rafiki ndo nitake kujuana na mtu?? Like seriously? Nope nope wakafie mbeleeeee 😂😂😂😂😂😂
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi kwa baadhi ya comments
  • Kuna maisha ndani ya jf, kuna kijiji na kata humu, watu wana fahamiana kinoma
  • Hamna ideology ya kataa ndoa, wote humu tunapenda mapenz na kupendana
  • Kama vile wivu sijui...some wamekataa kuwa positive kabisa

Inshort...inshorr humu ndani pipo mnajuana jamani....nimejua SIJUI. 🧐🧐🧐🍸🍸🍸
 
Mi sio tu kutania bro, kifupi sitaki shobo ya kujuana na watu nje ya jf..!!
Humu unaa mwingi, kwanza mtu mmoja ana id zaidi ya 100 na zote anacheza nazo, akiamua anakuwa mwanaume and the same time anakuwa wa kike.!!!
Na ana play adui na rafiki ndo nitake kujuana na mtu?? Like seriously? Nope nope wakafie mbeleeeee 😂😂😂😂😂😂
Eti eee . Hapa story tu mengineyo big no.
 
IMG_2031.jpg

Nuzulat mi ya mwezi jamani
 
Kwanza mtu mmoja ana id zaidi ya 100 na zote anacheza nazo, akiamua anakuwa mwanaume and the same time anakuwa wa kike.!!!
Na ana play adui na rafiki ndo nitake kujuana na mtu?? Like seriously? Nope nope wakafie mbeleeeee 😂😂😂😂😂😂
Tena mods ndo zao hapo kwenye I'd ndo usiseme ndo maana hawatukani wakiwa kwenye I'd zao za ofisi ila hizi zingine ni balaa tupu

Cookie nakusalimu rafiki 😁😁
 
Humu dawa ni kuwa bize na yanayokuhusu tu bila kujali kima gani tupo nawe na anasemaje kukuhusu!
Jf unaaa sana !

Mbaya zaidi watu wanajifanya kujua mtu ambae hata hawamjui that's jf!!
Sikia shouzzz ngoja nikate unafiki hapa, wee ile siku nimemchamba na kumchambua huyo smart kuhusu tabia yake ya kupakazia uongo, tena nilimuita kwa kumtag mwenyewe, ulisemaje?

Ikiwa mie mpinzani kwako, si ungenikatazaaa siku ile ile? Zimepita njegeka ngapiii hadi leo nionekane mpinzani wako? Kupatana kwenu mie sio shida, shida ilikuja kwa huyo smart kuambia watu kuwa walio ktk upande wako walipoteza nguvu na muda buree kukupigania ikiwa wee na yeye mnajuana, yes alikua sahihi yeye anakujua kuliko mie.

Mie nilikulalamikia wewe, na nilihoji kwa kusema ambavyo wake wenzio walisema, ubaya wangu uko wapi? Kwann ulijua wee na yeye mnajuana na mtapatana baadae, si ungeni cancel tangu mwanzo? Wengi wameanza kujua bifu lako na Depal, kumbe kuna wengine wawili nyumaaa, uliwaambia? Wanajua hilo?

Sikia shouzz nakuheshimu na nitakuheshimu daima, sina ubaya na wee na sioni haja ya kuwa hivyo. Nilikulalamikia kwa kuwa nilikupambania wee binafsi, nasikia leo mie ni mpinzani wako.

Hayaa bhana. Sina neno mie.
 
Mafile lazima kwa sie wambea wanasheria.View attachment 2893535
Umenikumbusha mbali Sana’a.!! Hiyo siku nilikuwa nafatilia umbea ambao leo umejirudia tena, tukapigwa ban halafu kuna kundi likaja ku celebrate aiseee!! Nilikiwasha mpk sio poaah!!

Sema yashapita, halafu ww nani mwenzetu??🤣🤣🤣🤣
Tatizo mashosti mnabadili id sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom