trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,546
- 11,131
Najishtukia vipi wakati wewe ndio umeniquote Shosti??? Imebidi niulize je ulikopwa na mimi [emoji23][emoji23]
Najishtukia vipi wakati wewe ndio umeniquote Shosti??? Imebidi niulize je ulikopwa na mimi [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kwamba hatuna lolote tunajiongelesha tu hapa 😁😁😁😁!!Hata wao wanasema kama wewe😀 na bado wanakula 30k
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kwamba hatuna lolote tunajiongelesha tu hapa 😁😁😁😁!!Hata wao wanasema kama wewe😀 na bado wanakula 30k
Ni wao aiseee!! Ndiomana story zimejaa.!!Hata wao wanasema kama wewe😀 na bado wanakula 30k
AlooooohTupate wadhamini [emoji1241]View attachment 2893529
Una hamu ya kukulwa ww ila utaukalia soon from jf 😅
Bado tunaupenda uzi huu jamani, kama tulivyoahidi tupo nao mpaka mwishoJamani msimuite atamalizia kukata shingo ya uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namtania tu Lamomy, sija attack mrebo yoyote hapa, sawa cheupe.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kwamba hatuna lolote tunajiongelesha tu hapa 😁😁😁😁!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nitasema tyuuh, hiyo tuzo nipewe harakaa kabla sijafa, natakaa niishike kwa mikono yangu.Udugu bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila humu leo pambe..!!! Kumbe ulipigana vita 3?? Vita ya dunia yenyewe iliishia 2 lkn ww 3??
Upewe tuzo udugu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mnatunza mafile 🤣🤣🤣🤣🤣Tupate wadhamini [emoji1241]View attachment 2893529
Aloooo😆😆😆🤔Mimi siliwe na takataka za humu naliwa na Mali safi kutoka U.S.A😁😁😁
Nishushe pdf lako?Ni wao aiseee!! Ndiomana story zimejaa.!!
Zangu ushawahi kuzisikia? Kuna mtu nishawahi kukutana naye humu.!?? Hao cheap waendelee kuchipuliwa tyuu!! 🤣🤣🤣🤣
Akija huyo kikao kinaisha rasmi 😂😂😂Bado tunaupenda uzi huu jamani, kama tulivyoahidi tupo nao mpaka mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa nguvu mno kaka.... umepigwa na kitu kizito au wewe ndio upo USA???Aloooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji848]
View attachment 2893531
Tena akija ameamkia kushoto mbona mods wenyewe watasalenda na kufunga kikao[emoji3][emoji3][emoji3]Akija huyo kikao kinaisha rasmi [emoji23][emoji23][emoji23]
Aloooo😆😆😆, mi hata laki 5 ya pamoja sija wahi😆😆😆Hii ya Vocha tu kwa week hiiView attachment 2893532
Wiiii naomba aftatu ya vochaHii ya Vocha tu kwa week hiiView attachment 2893532
Ana maandishi machafu mno na uzi utafungwa 😁😁😁Akija huyo kikao kinaisha rasmi 😂😂😂