cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,132
Yaani umebanwa piritoni ni kubwa



ndo maana nikawekwa kwenye kundi la wapinzani, habari ninayo, yess nilisema na sijakana na sitakana, hayo yalisemwa na wahusika wake alokutana nao hapo Masaki GYM.Mie ndo nilirudia tena kwa kuhoji,
nweiiiii nimepambaniaa sana huyo shouzzz, afu ktk vita vyake vyote mie ndo nilikua front, mumuulize akatae hapa yeye. Nilisema kwa upande wangu juu yake, mie sio mnafikiiii.
Nimepigania vita yake zaidi ya 3, nani atanitishia humu? Najua zaidi ya mnavyojua, unadhani nna cha kupotezaa bas? Nyie c mmekuja mwshoni kuunga trelaa, mtaniambia nn? Eti Leo oooh cocastic mnaaa, nilisema ukweli kwa jinsi nilivyojisikia, Unafiki sio shida zangu, heri niliyesema kwenye halaiki za watu mkapata cha kunena je ningesemea pembeni?
Hamnistuiiiiiiii




