Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
- Thread starter
-
- #61
KKN...
1. Nikuulize upo ktk DINi Gani? nakuuliza hivi kwasababu wengi wanaokwenda NJE ya NDOA HAWANA KHOFU ya ADHABU BAADA YA KIFO.
2. UISLAM kama mfumo kamili wa Maisha ya Mwanadamu umetoa RUHUSA iliyofungamana na UADILIFU ya kuoa mke zaid ya MMOJA. Mzungu au mwanadam anapotengeneza mashine huwa anatengeneza na USER GUIDE/MANUALs, ukienda kinyume na manuals ni kukiharibu chombo.
M/Mungu muumba wa M/damu ndie ajue Functions za Viungo vya mwanadamu. Ungekuwa Muislam ungeruhusiwa kuoa mke mwingine. Pia Ukifanya KOSA la KUTOKE NJE ya NDOA wakati umeoa ni KOSA la JINAI linalohitaji Upigwe mawe hadi UFE.
3. Wengi wetu Hatujui Lengo la NDOA. Wale wanaofikiri SEX its wrong. Marriage is a responsibilities. hapa unajenga Familia...unapokwenda Nje ya NDOA watoto watakaopatikana HUKO watakosa HAKI nyingi, moja URITHI, pili NASABA pia watoto wanaozaliwe NJE ya NDOA wanakuwa WANYONGE.
4. Kwa Utaratibu wako wa Kwenda NJE ya NDOA..unaonaje mtu akatambea na MAMA YAKO... UKIZINI NA DADA NA MAMA ZA WATU UJUE WATU NAO WATAZINI NA MKEO< MAMA YAKO< NA DADA ZAKO? JE utajisikiaje?
Kingene punguza kula au Funga mchana hii iko proved hupunguza matamanio yako....
There is 90% chance kwamba partner wako ulie nae sasa ana tabia kama zangu dada Judy lakini hujui tu coz yuko smart. Ndoa sio ngono tu jamani, haka ni kajipart tu ambako naona mke wangu amekua mbovu kwenye utendaji kwa sababu ambazo nimezitaja lakini kwa kuwa nina other alternatives- its not a problem, we still love each other and life goes on.Huu mjadala nimeufatilia na nachoweza kusema, umenifungua macho sana. Nimepata kujua tabia za baadhi ya wanaume, thanks kana kwa kuwa muwazi. Ila nafikiri you are so unfair to your wife.
There is 90% chance kwamba partner wako ulie nae sasa ana tabia kama zangu dada Judy lakini hujui tu coz yuko smart. Ndoa sio ngono tu jamani, haka ni kajipart tu ambako naona mke wangu amekua mbovu kwenye utendaji kwa sababu ambazo nimezitaja lakini kwa kuwa nina other alternatives- its not a problem, we still love each other and life goes on.
Tehe, tehe, tehe, Kithuku you are married to avery smart man, kama mumeo anakucheat you will always be the last to know, tena kama mnaishi majuu ambako hamna umbea ndio basi!! You cant rule anything out, unaonekana unaishi kwa matumaini tu which is a good thing. Dont get me wrong pse, I still love my wife, and Im confident- sleeping with other women will never change this forever.So unadhani mumeo alikupenda tu bila kukutamani?hadi akaamua kukuoa? ridiculous! You must be ugly kama ni kweli na labda alikuoa tu just for the sake of it.
Niko kwenye ndoa tangu 1994, tuna watoto wanne, na hatuna shida hizo ulizoandika hapa. Tuna tabu zetu nyingine ndogondogo ambazo wala hata hatumsimulii mtu, tunazimaliza zinavyotokea, zinazotushinda tunakaa nazo. Nahisi ulioa mwanamke uliyekuwa ukimtamani sana (ndio maana unazungumzia alikuwa "modo" nk), lakini hukumpenda. Ulimtamani tu.
No apology- sorry, you sounded like a woman here. Mwanaume rijali hawezi ongea namna hii.
kithuku huyu mtu hashauriki. Mtu mstaarabu utamjua tu first haogopi kuask for apology. Pili hajeset mind yake kubadilika anasanifu majibu yetu. Ndugu Kana you know kabisa deep down your heart you are damn guilty (only you cant admit) hii ndio concience ambayo Mungu alituwekea, no matter how sweet the sin may be, always our concience disturbs, we may fake it, please ourselves with all sorts of excuses but nothing outweighs the Guilt in concience. The fact remains YOU DONT LOVE YOUR WIFE. And neither do you love youself ( cause your wife is part of you) and remember to TREAT S YOU LIKE TO BE TREATED. Haya si mahubiri bali ni clear facts amabzo nimeziona, nimeziexperience in society. Tatizo tupo tayari kukupa ushauri mwingi But do you have the Zeal and Will ya kubadilika?
Sit dowm and focus whats your main pirpose in marriage life?
Why is it important for you to have a wife
Whats your role as a husband?
Whats your wife role?
Whats God purpose on marriage?
if you can answer this then we can move to the next step.
Enjoy your day.
Mimi naona sieleweki kabisa kwa wengi wenu. Nimeshasema mambo ya dini haya exist kabisa kwangu, why do you keep on mentioning the word GOD and SIN? They dont apply to me. May be a time will come, I will look back and say " Hey, I have had a wicked life, its time for me to settle down with my wife and kids" but im not ready for that now, Im enjoying what im doing so why should I feel guilty? Nimeshasema kwamba if I wasnt doing what im doing now labda ndoa yangu ingekua imeshavunjika, hao vicheche wa nje wananisaidia kuitunza ndoa yangu na kumpunguzia 'kero za usiku' mama watoto, we have only got to concentrate on raising up our lovely kids and our jobs.Its not a problem at all, why call it a problem while I have alredy got a solution for it?
if there is no problem, what made you ask for our opinion? you wanted us to clap 4u and justfy what you are doing? no way, the truth always prevail. It hurts me to hear you say you only concentate on raising you kids and your job, thats vey bad for any marriage, ninamhurumia huyo mwanamke mwenzangu, whats the purpose ya wewe kusema vicheche wanakusaidia kutunza ndoa yako, what for? Unatunza ndoa gani hapo sasa, so far i dont see it according to your maelezo. Enjoy it while it lasts, but like it or not God is there and he hate what you are doing.
This is wicked!...
KK kusema kwamba having sex doesn't realy comprise love is a lame excuse and a green light to all greedy fellows to go for the other women/men they had wished to have sex with!!!
Why is it hard for us to think and behave morally!!
if u think its cool ebu fikiria what u do with other women kiwe kinafanyika kwa mkeo...... i know u wont even imagine!!!....
Cheating iko kote toka zama za mababu! Kuna ufafiti umefanyika Norway, Sweden na Denmark- 2006 over 50% of couples reported to have cheated! Tanzania ni kawaida tu- ukiona mama amepandishwa cheo au anapata safari nyingi zaidi za nje na mikoani au ana alowance kubwa zaidi- tambua tu bosi amempenda na bosi pia anafaidi!
Muhimu ni muhimu kuongea wazi juu ya haya mambo- na kutumia condom- kama unajua umaedanyanga- na hujatumia condom basi usimpe mwenzako penzi! Nenda kwanza ukapime!
mke au mme wa kuiba ni mtamu sana- ila kinga mbele!
Mliopo kwenye ndoa zenu nisijewapa heart attacks bure,nimeona bora niwatafutie dawa ya kinga kabla mambo yenu hayajawa kama yangu. If you are already into into, be more smart and try to avoid being caught out and keep enjoying. I guess nilishtukiwa kwa kuwa my wife ali notice one or two of these clues, I hope zitakuwa helpful kwenye ndoa zenu pia.....
46 Clues Your Partner is Having an Affair
Some of these signs of a cheating spouse are a bit tongue in cheek while others are tell tale signs that commonly appear with a cheating husband or cheating wife. Do any of these ring a warning bell?
1) You find birth-control pills in her medicine cabinet, and youve had a vasectomy.
2) Mutual friends start acting strangely toward you. (They either know about the cheating or have been told stories about what a horrible wife or girlfriend you are.)
3) Your cheating husband or wife stops confiding in you and seeking advice from you.
4) Sets up a new e-mail account and doesnt tell you about it.
5) He leaves the house in the morning smelling like Irish Spring and returns in the evening smelling like Safeguard.
6) She joins the gym and begins a rigorous workout program.
7) She buys a cell phone and doesnt let you know.
8) He sets up a separate cell phone account that is billed to his office.
9) The cheating husband carries condoms, and you are on the pill.
10) Begins to delete all incoming phone calls from the caller ID.
11) Deletes all incoming e-mails when they used to accumulate.
12) He becomes accusatory, asking if you are being true to him, usually out of guilt.
13) Raises hypothetical questions such as, Do you think its possible to love more than one person at a time?
14) He buys himself new underwear.
15) He insists the child seat, toys, etc., are kept out of his car.
16) The cheating wife stops wearing her wedding ring.
17) Has a sudden desire to be helpful with the laundry.
18) Has unexplained scratches or bruises on his or her neck or back.
19) Suddenly wants to try new love techniques.
20) He/she fairly suddenly stops having sex with you.
21) He/she suddenly wants more sex, more often.
22) Supposedly works a lot of overtime, but it never shows up on the pay stub.
23) Picks fights in order to stomp out of the house.
24) You find out by accident he or she took vacation day or personal time off from work - but supposedly worked on those days.
25) Shows a sudden interest in a different type of music.
26) Spouses co-workers are uncomfortable in your presence.
27) Has a sudden preoccupation with his or her appearance.
28) Spends an excessive amount of time on the computer, especially after you have gone to bed.
29) He throws up a lot because he just ate at his mistresss house and had to eat the dinner you prepared when he got home.
30) Your spouse is away from home, either nights or on trips, more than previously.
31) His/her clothes smell of an unfamiliar perfume or after-shave. You see lipstick on your husbands shirt.
32) The amount of money being deposited into your checking account drops off.
33) You find items of intimate apparel or other small gift-type items that you did not give your spouse.
34) Your spouse seems less comfortable around you and is touchy and easily moved to anger.
35) You get calls where the caller hangs up when he or she hears your voice.
36) He/she loses attention in the activities in the home.
37) Your intuition (gut feeling) tells you that something is not right.
38) He/she has a definite change in attitude towards everyone in the home.
39) She uses a low voice or whisper on the phone or hangs up quickly.
40) She has a glow about her.
41) Atypical erratic behavior.
42) He sneaks out of the house.
43) She sleeps with her purse by the bed.
44) She goes to the store for groceries and comes home 5 hours later.
45) He tells you that you can get hold of him at a different telephone number.
46) The telltale sign of a cheating spouse? Having to ask that question in the first place.
Dr. Robert Huizenga, The Infidelity Coach, has helped hundreds of couples over the past two decades heal from the agony of extramarital affairs and survive infidelity. Visit his website at: http://www.break-free-from-the-affair.com