Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Wapi ww..hapo papuchi imekuwa kama gofu.
Jaribu uone.....
Hahahah labda nijaribu kwako
Hahahah labda nijaribu kwako
Natumia mguu wa mtoto mie.....yako wape wengine
Natumia mguu wa mtoto mie.....yako wape wengine
Hahahaha...unaonaje tubanane? Mi sinaga roho ya kwa nini....
hahaha sawa nakupa share 5 kati ya mia
Aliyekwambia mm sina mguu wa mtt nani?
age is just number
Mimi mzima wa afya naendelea kupunga upepo...
Ooh....is that so? Sasa uungwana wangu naona unataka kuutumiapo vibaya....sasa ntamchukua jumla na hutomuona tena...
Hahaha...utakuwa wa kwanza wewe kuachwa lol...