Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,097
- 127,830
hehehehe nakuachia jinafasi mwaego lol
Sitaki mi nataka competition aisee...
hehehehe nakuachia jinafasi mwaego lol
Kweli ila hapo kama maji yamezidi unga!!!
love is no longer blind my dear
Huna......ungekuwa nao ningejua!!watu na xperience zao bwana Kaizer upo wp??
Mimi hapa miss strong..huyu Nokia83 analeta ghasia gani my dear hadi atuamshe saa hii?
Hahahahah mkuu sijaleta ghasia
Hahahaha...unaonaje tubanane? Mi sinaga roho ya kwa nini....
Nani kakudanganya nimepeperuka? Mie niko siti ya nyuma naangalia nyendo zako....
Threesome ndo mpango mzima, hebu kujeni pande hii, without.
😛hoto:😛hoto:Ha ha ha nilikuwa nakusalimia tu mkuu.....hakuna ghasia zaidi anataka kunipa
kombora eti nimuachie uwazi.
Ukitaka kujua kama ni mapenzi ya kweli fuatilia net worth yao wote wawili.kama bi mkubwa ni milionea ama bilionea na dogo hana kitu basi ujue mshkaji kafuata mpunga tu,anamlia taiming bibi wawatu ajifie arithi mazagazaga
😛hoto:😛hoto:
Ha ha ha nilikuwa nakusalimia tu mkuu.....hakuna ghasia zaidi anataka kunipa
kombora eti nimuachie uwazi.
😛hoto:😛hoto:
Uzuri ni kwamba hana wivu, waweza pia kuniteka....
Good!!!!