love triangle asprin umekwishaaa.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

love triangle asprin umekwishaaa.....?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ummu kulthum, Aug 8, 2012.

 1. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  @aspirin ni babu kijana na mpenda totoz, hivi katika hali ya sasa ilivyongumu kimapenzi,kisiasa ,kiuchumi anawezaje kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na totoz kibao anazifukuzia humu kila kukisha na @cacio na BADILI TABIA hawaoni kwamba ni tatizo na huwa wanampa sapot katika kila kitu je hawaoneani wivu au wana ajenda ya kiambukizo huru?wanatumia nini kujilinda na magojwa ya kuambukiza?hawa watu wanaishije kama wake wenza?au kuna KITU kimejifisha? Sipendi kuwaingilia ila nawaonea huruma jaman poleni,ujumbe huu uwafakie marafiki wote wa babu akiwamo erick52 Young_master Bishanga AmKATRINA charminglady platozoom figganigga na wengine fuateni mazuri yake mabaya muachieni mwenyewe!!
  Swali la kizushi, kwa nini huwa haupendi kumshirika Yummy kwenye mambo yako ZAIDI YA hao wengine?.
  ASPRIN
  BADILI TABIA CACIO  Mchezo wa mapenzi ni mchezo usiokuwa na refa na rafu nyingi kuliko fairplay

  Ushauri nasaha unahitaji kijanababu ataangamia na bila yeye chit-chat itapwaya wapi mzee wa maphoto!!!!

  angalizo: ushauri uwe mzuri na sio wa kumkejeli atalalia bar na kuamkia club
  maoni tafadhalini
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1:
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  tobaaaaaaaaaaaaaaaaa....
  nimeamini mti mzuri ndo unapigwa mawe..... kwa jinsi ndoa yetu ilivyo imara kila mtu anatuwinda treeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh..............................

  hubby Asprin, wake wenzangu cacico, Yummy chini ya usimamizi wa jambazi Kongosho njoeni muone....


  by the way ummy ulikuwa unajaribu kuandika kichina?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  BADILI TABIA mnaishije hatuwapigi mawe fungukeni jamani........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hadi jino la 32 linaonekana babu anatisha wewe!
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  jiulizeni, cacico, Yummy na BADILI TABIA mko wangapi? kama babu Asprin ameweza kuwa nanyi watatu huenda ana wengne kando ambao hamuwajui lol . . . TULIZANA!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  tunaishi kama wanavyoishi wake wenza wengine, ila sie tumejaliwa upendo, amani na ushirikiano na mshikamoano.... Asprin oyeeee


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  charminglady
  unaweza kuwa na mwanaume mmoja tu na akawa kawapanga kama foleni ya kupiga kura.... kuwa na mke/mume mmoja hakukuondolei hatari ya kuwa kwenye mtandao......

  sie wenyewe tumeridhia inatosha....   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Heri yangu mimi sijasema.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kupenda kubaya jamani,sasa we Ummy kama unampenda aspro si useme tu? Umezunguka weeeeee,just say it loud n clear .....'mimi Ummy binti Abdalah,kwa hiyari yangu mwenyewe nimekupenda Asprin,naomba wake zako wote uwaache unioe mie.....hakika utafurahi,mtoto wa pwani mie,mambo nayajua...'
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yani jamani ndo mana mimi nakesha zangu Bar,
  me na pombe,pombe na mimi.
  Tunaowaona ni watatu kwa Babu Asprin,
  je,anaowapa lifti,anaowasalimia,anaotoka nao lunch.
  BADILI TABIA, cacico na Yummy mjiulize,
  WAKO WANGAPI,maana sio MKO WANGAPI.
  Me nasubiri mtoto jamani,sio mjitape tu kuwa mume wenu Asprin,tuonesheni matunda.
  Eboo!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  you mean nyie na aspro mnapuyanga,mmepima???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  Bishanga,
  una mabusara wewe sijapata ona.....
  ili ummu ombi lake likubaliwe lazima aongee vizuri na wake za Asprin ...loh...   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hata akiwa nao mia moja, wake halali wenye vyeti vya ndoa ni BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya usimamizi wa gaidi Kongosho...   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bishanga usinichimbe jamani,
  Mimi nawauliza hao wake zake,
  Mimi napita njia tu.
   
 16. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mnapendana lakini au ndio mnaendeana kwa Kamgambile?
  Na matunda je?
  Mbona huyaweki hadharani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  tutaje matunda ili mtuharibie fivusamu yetu?


   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hongera babu Asprin hiyo inaitwa tutabanana hapahapa hata mkisema........wapi babu DARKCITY naye aje kututambulisha wajukuu zake hapa....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa tutathibitishaje kama Babu Asprin ni 'kifaa'
  Au mnamchuna tu?
  Au kuna siri mnamfichia?
  Maana mjini hapa BT.
  Fungukeni wake zake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sweetie punguza basi fitina hazijengi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...