love triangle asprin umekwishaaa.....?

love triangle asprin umekwishaaa.....?

na mtangoja sana nimwagwe! siachwi ng'o! The secretary mzima weye?
Chezeya sisi huyo?

attachment.php
 
hakuna cha handeni wala sumbawanga! ukaguzi wake tu na viwango vyake baaaaaasssssssiiiiiii! lol

aaaah! mnatuogopea we si ndio ulisema niende kwa sangoma diamond akanisafishie nyota?sasa huyo sangoma umemjuaje kama huwa hamuendi familia nzima?
 
aaaah! mnatuogopea we si ndio ulisema niende kwa sangoma diamond akanisafishie nyota?sasa huyo sangoma umemjuaje kama huwa hamuendi familia nzima?
Njoo kwangu nikusafishe nyota....

attachment.php
 
afrodenzi,una memory ni hatari.
btw ina maana mwezi huu next year kina cacico itakuwa ni kilio mikono kichwani?

Ndoo hivyo tena Bishanga .
huyu babu matata, na kusaidia hatuachi sijui ana sumaku gani..
siwajua tena Asprin dawa chungu lakini inatibu mengi..

sisi wa zamani tumesha temwa sasa ni kumarishwa tu
"lete mkongojo, mara umepinda, ooohhh nataka unisugue kiuno, sijui miguu imekufa ganzi mmmmhhh"

nasi tunasema "YES BABU" kwa kila kitu..
 
Last edited by a moderator:
Unajua afrodenzi ule mkongojo uloninunulia ushapinda? hebu kam zis wei nikunong'oneze jambo baba..... si wajua ya kale zahabu??
Bishanga nilikwambia nini hapo awali..
ona sasa amshaanza na mkongojo ushapinda..

Na AD hana neno ye anakubali tu kuleta mpya.. Asprin babu unataka na miwani ya kusomea au y kukagulia??
 
Last edited by a moderator:
Ndoo hivyo tena Bishanga .
huyu babu matata, na kusaidia hatuachi sijui ana sumaku gani..
siwajua tena Asprin dawa chungu lakini inatibu mengi..

sisi wa zamani tumesha temwa sasa ni kumarishwa tu
"lete mkongojo, mara umepinda, ooohhh nataka unisugue kiuno, sijui miguu imekufa ganzi mmmmhhh"

nasi tunasema "YES BABU" kwa kila kitu..

nani akuteme afrodenzi wangu?? We ni mali yangu mwenyewe!Tumetoka mbali sana, unakumbuka?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Bishanga nilikwambia nini hapo awali..
ona sasa amshaanza na mkongojo ushapinda..

Na AD hana neno ye anakubali tu kuleta mpya.. Asprin babu unataka na miwani ya kusomea au y kukagulia??

Nachokupendea unayajua mahitaji yangu. Si unajua nshazeeka kusoma tena siwezi? Nletee ya kuwakagua afu nawewe uje unisaidie kuwashika miguu.
 
Nachokupendea unayajua mahitaji yangu. Si unajua nshazeeka kusoma tena siwezi? Nletee ya kuwakagua afu nawewe uje unisaidie kuwashika miguu.

Haya babu ngoja nitoke kidogo kukutafutia maitaji yako muhimu.
na pia kuna raba nimeziona zitakuwa rahisi kwa we kutembelea..
baadaye babu. "nenda taratibu na hicho kideku cha mbege" :redface:
 
Back
Top Bottom