love triangle asprin umekwishaaa.....?

Hheheheeeee nimekustukia bibi....
Tumefundwa sieeeee
hatutoi siri za chumbani....
Kuna watu humu wako macho juu juu kutaka kumuiba hubby wetu.... Wanatamani ndoa yetu na Asprin ivunjike.....

Walaaaah sikutajii ujuzi wa mume, nimeshtuka, abiria chunga mzigo wako loh...

Sasa tutathibitishaje kama Babu Asprin ni 'kifaa'
Au mnamchuna tu?
Au kuna siri mnamfichia?
Maana mjini hapa BT.
Fungukeni wake zake.
 
Last edited by a moderator:

Basi nimeshinda.
Naomba nimnyakue Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Hheheheeeee nimekustukia bibi....
Tumefundwa sieeeee
hatutoi siri za chumbani....
Kuna watu humu wako macho juu juu kutaka kumuiba hubby wetu.... Wanatamani ndoa yetu na Asprin ivunjike.....

Walaaaah sikutajii ujuzi wa mume, nimeshtuka, abiria chunga mzigo wako loh...

hata mie nimefundwa ila ufundwaji umetofautiana sasa ili tupeani maujuzi, huna budi kufunguka nasi tuweze kuishi life mnaloishi
 
kupenda kubaya jamani,sasa we Ummy kama unampenda aspro si useme tu? Umezunguka weeeeee,just say it loud n clear .....'mimi Ummy binti Abdalah,kwa hiyari yangu mwenyewe nimekupenda Asprin,naomba wake zako wote uwaache unioe mie.....hakika utafurahi,mtoto wa pwani mie,mambo nayajua...'

ki ukweli mie napenda sana swaga zake lakini mambo ya malovee no kwani tayari nimeshashumbiwa af ni kama ana mfumo dume kwa hawa dada.
 
Ukiona wake wenza wanapatana hivyo ujue mume wao ni joka la kibisa na kati yao hakuna anayemuonea wivu mwenzie kwa kuwa wanajua hamna cha kufaidi zaidi ya matatizo, kile kibabu nlishasema hamna kitu mle,wanakilia tu vijihela vyake,Cacico shahidi
 
ni kweli kabisa hapendwi mtu ila pochi na ataiba sana mwaka huu.
 
Back
Top Bottom