love triangle asprin umekwishaaa.....?

love triangle asprin umekwishaaa.....?

@aspirin ni babu kijana na mpenda totoz, hivi katika hali ya sasa ilivyongumu kimapenzi,kisiasa ,kiuchumi anawezaje kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na totoz kibao anazifukuzia humu kila kukisha na @cacio na BADILI TABIA hawaoni kwamba ni tatizo na huwa wanampa sapot katika kila kitu je hawaoneani wivu au wana ajenda ya kiambukizo huru?wanatumia nini kujilinda na magojwa ya kuambukiza?hawa watu wanaishije kama wake wenza?au kuna KITU kimejifisha? Sipendi kuwaingilia ila nawaonea huruma jaman poleni,ujumbe huu uwafakie marafiki wote wa babu akiwamo erick52 Young_master Bishanga AmKATRINA charminglady platozoom figganigga na wengine fuateni mazuri yake mabaya muachieni mwenyewe!!
Swali la kizushi, kwa nini huwa haupendi kumshirika Yummy kwenye mambo yako ZAIDI YA hao wengine?.
ASPRIN




BADILI TABIA CACIO



Mchezo wa mapenzi ni mchezo usiokuwa na refa na rafu nyingi kuliko fairplay

Ushauri nasaha unahitaji kijanababu ataangamia na bila yeye chit-chat itapwaya wapi mzee wa maphoto!!!!

angalizo: ushauri uwe mzuri na sio wa kumkejeli atalalia bar na kuamkia club
maoni tafadhalini
Hivi we ummu kulthum inakuwaje unanichokoza wakati wa sikukuu yetu wakulima? Mimi na wake zangu cacico, BADILI TABIA na Yummy chini ya usimamizi wa Kongosho tulikuwa busy jana shambani tunavuna mazao ya shamba.

Apples za kufa mtu

attachment.php


Ndimu zilizokwenda shule

attachment.php


Na mazao mengine kibao. Inakuwaje unataka kutuharibia ndoa yetu kwa uchokozi? We na HYGEIA mna nini na sisi? Naona kina Cantalisia, charminglady, AmKATRINA, mtotowamjini, Mamndenyi, Bishanga, ruttashobolwa na The secretary mnatuwangiiiia.....

Mbona we hujawaambia tabia yako ya ku-poo msituni

attachment.php


Ilivyokuzuru kiasi kwamba kila saa inabidi ujikune??

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Kongosho umeona eeeh ummu na mwenzie amkatrina wanazunguuuuuuuuuuuuukaaaa huku rohoni wanatamani loh...



ha ha ha, BADILI TABIA, ukiona hivyo ujue anatamani kugongwa mhuri au anatamani kuvaa jezi ya Chelsea.

Si aombe usajili tu!!?

Mtoa mada, sema vizuri nakusikiliza, naweza kukufikiria msimu wa dirisha dogo.
 
Last edited by a moderator:
Loh.....
Shindwa na ulegee....anyway wake za Asprin tutakaa tukujadili

Mwambie kabisa vigezo vyangu. Anaweza kuvaa viatu vyenu???

metal-shoes.jpg


Na kama anaweza mguu wenyewe anao???

Kama wa cacico?

attachment.php


Au kama wa Yummy??

attachment.php


Au japo nusu ya wako??

35332_415591642610_103741982610_5178224_3922230_n.jpg


Kama vipi mwambie aanze mbele, akajaribu bahati yake kwa Bishanga ndo anapenda anayeweza kuvaa viatu vya The secretary

Funny-Shoes.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hivi we ummu kulthum inakuwaje unanichokoza wakati wa sikukuu yetu wakulima? Mimi na wake zangu cacico, BADILI TABIA na Yummy chini ya usimamizi wa Kongosho tulikuwa busy jana shambani tunavuna mazao ya shamba.

Apples za kufa mtu

attachment.php


Ndimu zilizokwenda shule

attachment.php


Na mazao mengine kibao. Inakuwaje unataka kutuharibia ndoa yetu kwa uchokozi? We na HYGEIA mna nini na sisi? Naona kina Cantalisia, charminglady, AmKATRINA, mtotowamjini, Mamndenyi, Bishanga, ruttashobolwa na The secretary mnatuwangiiiia.....

Mbona we hujawaambia tabia yako ya ku-poo msituni

attachment.php


Ilivyokuzuru kiasi kwamba kila saa inabidi ujikune??

attachment.php

hahahahahahahahahahahahahaha

mbona huyo kwenye pori ni kama mkeo naniliu........................

Nahisi ilo apple la freemason
 
Last edited by a moderator:
hawa hapa


Wives_01_1254847a.jpg


@aspirin ni babu kijana na mpenda totoz, hivi katika hali ya sasa ilivyongumu kimapenzi,kisiasa ,kiuchumi anawezaje kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na totoz kibao anazifukuzia humu kila kukisha na @cacio na BADILI TABIA hawaoni kwamba ni tatizo na huwa wanampa sapot katika kila kitu je hawaoneani wivu au wana ajenda ya kiambukizo huru?wanatumia nini kujilinda na magojwa ya kuambukiza?hawa watu wanaishije kama wake wenza?au kuna KITU kimejifisha? Sipendi kuwaingilia ila nawaonea huruma jaman poleni,ujumbe huu uwafakie marafiki wote wa babu akiwamo erick52 Young_master Bishanga AmKATRINA charminglady platozoom figganigga na wengine fuateni mazuri yake mabaya muachieni mwenyewe!!
Swali la kizushi, kwa nini huwa haupendi kumshirika Yummy kwenye mambo yako ZAIDI YA hao wengine?.
ASPRIN




BADILI TABIA CACIO



Mchezo wa mapenzi ni mchezo usiokuwa na refa na rafu nyingi kuliko fairplay

Ushauri nasaha unahitaji kijanababu ataangamia na bila yeye chit-chat itapwaya wapi mzee wa maphoto!!!!

angalizo: ushauri uwe mzuri na sio wa kumkejeli atalalia bar na kuamkia club
maoni tafadhalini
 
babu ana date kwa msimu..
spring, winter, autumn na summer.
samahani wpendwa mlio kwenye rada ya babu
wakija wengine, wapya wanaohitaji kukaguliwa mtatemwa tu ..

ujumbe kutoka kwa mjukuu wa zamani .......
kwenye list ya babu kulikuwa na Mwanajamiione, Dena Amasi, maria Roza, Rose1980, Blaki Woman, Michell, Lizzy, afrodenzi, Preta, Wos, Maty, BelindaJacob, Nilham Rashid, First lady1, dahhhhhh na wengine wengi..

Ni hivi msimu wako ukiisha una step down ..
na kazi yako ni kuleta ugoro na mkongojo , hao wapya ndio
wanabaki hapo pembeni ya babu ..... "Mzunguko tu " au vipi babu Asprin
 
Hivi we ummu kulthum inakuwaje unanichokoza wakati wa sikukuu yetu wakulima? Mimi na wake zangu cacico, BADILI TABIA na Yummy chini ya usimamizi wa Kongosho tulikuwa busy jana shambani tunavuna mazao ya shamba.

Apples za kufa mtu

attachment.php


Ndimu zilizokwenda shule

attachment.php


Na mazao mengine kibao. Inakuwaje unataka kutuharibia ndoa yetu kwa uchokozi? We na HYGEIA mna nini na sisi? Naona kina Cantalisia, charminglady, AmKATRINA, mtotowamjini, Mamndenyi, Bishanga, ruttashobolwa na The secretary mnatuwangiiiia.....

Mbona we hujawaambia tabia yako ya ku-poo msituni

attachment.php


Ilivyokuzuru kiasi kwamba kila saa inabidi ujikune??

attachment.php

:biggrin1: aisee sikujua na wadhungu nao wanachuchumaaga mthituni
 
babu ana date kwa msimu..
spring, winter, autumn na summer.
samahani wpendwa mlio kwenye rada ya babu
wakija wengine, wapya wanaohitaji kukaguliwa mtatemwa tu ..

ujumbe kutoka kwa mjukuu wa zamani .......
kwenye list ya babu kulikuwa na Mwanajamiione, Dena Amasi, maria Roza, Rose1980, Blaki Woman, Michell, Lizzy, afrodenzi, Preta, Wos, Maty, BelindaJacob, Nilham Rashid, First lady1, dahhhhhh na wengine wengi..

Ni hivi msimu wako ukiisha una step down ..
na kazi yako ni kuleta ugoro na mkongojo , hao wapya ndio
wanabaki hapo pembeni ya babu ..... "Mzunguko tu " au vipi babu Asprin
Unajua afrodenzi ule mkongojo uloninunulia ushapinda? hebu kam zis wei nikunong'oneze jambo baba..... si wajua ya kale zahabu??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom