Love story (True story)

Haya ndio kama yale mambo ya Zitto na yule binti wa Clouds FM...

Yani ukisikia hasara ndio kama hiyo sasa.Lazima jamaa ajute kumfahamu huyo mwanamke maana kuvuliwa nguo hadharani kama hivi sio mchezo.
 
Duuh! Mwanamke kapinda huyu hatari. Sijui anamfundisha nini mtoto wake. Ila Simlaumu maana stress za kuachwa ukiwa una mtoto wake ni balaa.

"Woman can make you or destroy you".
 
Yani ukisikia hasara ndio kama hiyo sasa.Lazima jamaa ajute kumfahamu huyo mwanamke maana kuvuliwa nguo hadharani kama hivi sio mchezo.

Hahaha hata hivyo mheshimiwa ni msanii, labda atalipiza akiingia studio
 
Eheeeh!!!
Tafadhali sana bavicha msije huku mkatuharibia mautamu!!!
 
Shikamoo bibi.Nimekumiss??Mie niliona sababu ni mtoto wa tanga kwenu sasa mkigoma akadata!!!!!

is she from TA??....nada!!!

nadhani ni mtoto wa Malinzi, na kina Malinzi ni wazee wa Kagera huko...
 
Akiwa Dodoma huwa anapenda kwenda club kukutana na rafiki zake.... Ina maana yeye na rafikize wengi ni watu wa kujirusha.

Anasema amezoea kutongozwa kistaarabu.... Kwa hiyo anapenda kutongozwa ila siyo kihuni.

Nanihii alimwambia nataka niku.... akamshangaa sana, sijaona mahali akijaribu hata kuzuga kumaindi ili kudhihirisha yeye siyo mrahisi.

Mwishowe Nanihii akafanikiwa Kum.....

Well, ......................
 
Amekaa kama mwehu mwehu

Nilifundishwa kuna aina 3 za ubongo, na kila mmoja una location yk! Huyu bint ubongo wake umepatwa na mislocation, wa hapa upo kule, wa pale upo huku, na wa huku umeenda pale! No more coordination!
 
Nilifundishwa kuna aina 3 za ubongo, na kila mmoja una location yk! Huyu bint ubongo wake umepatwa na mislocation, wa hapa upo kule, wa pale upo huku, na wa huku umeenda pale! No more coordination!

Aseeeee hata me naona
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…