Love story (True story)

Umeshasahau! Kuwa SUGU alizaa naye mtoto?
Ndiyo najua km amezaa nae,nnachosema hapa sugu hastahili lawama hata kidogo! Huyu kwa vyovyote vile anajitoa ufahamu baada ya kutemwa. Isingewezekana Sugu ajue yote haya halafu aendelee nae,lazima alificha tabia zake ambazo hivi sasa anazianika! Huenda sugu aligundua mwenyewe tabia chafu za huyu kahaba ndo maana akamtema..! Wanawake wengi wanaficha mambo mengi sana,wapo makahaba wenye waume wasio na idadi lkn waume zao hawajui na kwa hili hata me na wewe tunaweza kuwa wahanga!!
 

Hivi unaweza kuvuta Bangi na mwanamke wa kawaida?
 
Hivi unaweza kuvuta Bangi na mwanamke wa kawaida?

Hivi we unaona ni mwanamke wa kawaida huyu? Yawezekana yeye ndo alimfundisha Sugu kuvuta hizo bangi.. mwanamke wa kawaida hawezi kuwa na tabia za ajabu kama huyu binti
 
Hivi we unaona ni mwanamke wa kawaida huyu? Yawezekana yeye ndo alimfundisha Sugu kuvuta hizo bangi.. mwanamke wa kawaida hawezi kuwa na tabia za ajabu kama huyu binti

Acha ujinga wewe, huu upumbavu ongea na watoto wenzio, Katika kitabu chake SUGU, FROM STREETS TO PARLIAMENT, Mbilinyi amekikiri kuwa yeye ni mtumiaji wa bangi, Pia katika wimbo wake wake uitwao MOTO CHINI, SUGU amenukuliwa akisema kuwa ganja ndio inampa misimamo!
 

Siwezi bishana na wewe mana nishatambua ubongo wako hauna tofauti na wa huyo faidha
 

Unayasema haya ili kumtetea SUGU, ila sisi tulio siasani siku nyingi, tunafahamu tabia za SUGU!

Ni Mvuta bangi aliyeshindikana! Ndio maana akaamua kuzaa na huyu Malaya!
 
Acha chuki Binafsi kwa Sugu bwana. Lakini pia huwezi ongea tu vizuri bila kuingiza matusi?
 

Mkereketwa huyo!!!!!!!
 

My dia hii story niliiona nikaji subscribe tu ila sikufikiria kama ni ya huyu chizi!
Leo ndio nasoma nimebakije mdomo wazi?
 
Last edited by a moderator:
My dia hii story niliiona nikaji subscribe tu ila sikufikiria kama ni ya huyu chizi!
Leo ndio nasoma nimebakije mdomo wazi?

Karibu sana tuendelee na story.
 
Acha movie iendeleeeee-tatizo lenu mmezoea reality show hii ni reality story. Shem wala sio punguani anaakili zake timamu'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…