Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Kwa wake ambao hamjapitia mkoleni sisi wa Kwamtogole tunawapa usia love making ina waunganisha, inasukuhisha ugomvi, inawafanya mjione kuwa ni mwili mmoja na pia hupungua a tamaa ya michepuko.
Wale wanaosema usinisumbue nimechoka ham juu kuwa mnajenga nyufa kwenye ndoa zenu?
Wale wanaosema usinisumbue nimechoka ham juu kuwa mnajenga nyufa kwenye ndoa zenu?