Love making ni moyo wa ndoa

Love making ni moyo wa ndoa

Huu muda watu hutumia kufanya tafakuri ya vipi siku yao imeenda..na namna ambavyo unaweza kufanya vizuri zaid.

Wewe unawaza, tamania, kuandika na kuhamasisha ngono..rubbish!
Masikini kweli wewe wa mali na akili! Unadhani kila mtu ana ratiba kama yako?! Phd idiocy..

Ukiona mtu anawaza ngono ujue ana afya nzuri, ameshiba na hana vishida vya kuwaza siku imeendaje. She affords her life mo fo!!
 
Inaezekana kuna ukweli kwenye hili kuna sehemu nlisoma,

"Orgasm wont solve all your problems but it can surely gives u a better attitude"
 
Back
Top Bottom