Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,163 Mar 28, 2012 #2 Karibu, usipitie dirishani mlango huo mweupe. Sasa kichwa cha habari kinahusikana na hodi yako? Afu wewe ni she/he?
Karibu, usipitie dirishani mlango huo mweupe. Sasa kichwa cha habari kinahusikana na hodi yako? Afu wewe ni she/he?
M Malikauli Senior Member Mar 3, 2012 147 113 Mar 28, 2012 #3 Hapa hakuna hodi wala karibu,mimi naingia tu
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Mar 28, 2012 #4 Dah umevamia jukwaa.... Karibu anyway
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Mar 28, 2012 #6 Malikauli said: Hapa hakuna hodi wala karibu,mimi naingia tu Click to expand... Askari wa uhamiaji watakutoa, shauri yako....
Malikauli said: Hapa hakuna hodi wala karibu,mimi naingia tu Click to expand... Askari wa uhamiaji watakutoa, shauri yako....