Kingdeeper
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 262
- 165
Penzi ni mawasiliano? je unaweza kuwa na penzi bila ya mawasiliano?
penzi ni mawasiliano?? je unaweza kuwa na penzi bila ya mawasiliano??
penzi ni mawasiliano?? je unaweza kuwa na penzi bila ya mawasiliano??
penzi ni mawasiliano?? je unaweza kuwa na penzi bila ya mawasiliano??
Mawasiliano kwa muktadha upi?
Kupigiana simu kila saa ndiyo mapenzi?
Hakuna mapenzi bila mawasiliano. Kama hawasiliani nawewe basi anawasiliana na mwingine. Kuwa makini
hujalala hadi saa izi unaposti huku nDo.a yako unaitumikia mda gani.Mkizodolewa mnakuja humu Jf kulalamika.Ngoja nijitupe kunakobed.True said
well said ukiona kimya c mali yako tena
you can talk with someone for years everyday, and still, it won't mean as much as what you can have when you
sit in front of someone, not saying a word, yet you feel that person with your heart, you feel like you have known the person for forever.... connections are made with the heart, not the tongue.
Mhhh... hapa sio penyewe...
Kule kwao Mwita Maranya, mapenzi ni kuchapwa makofi.