Love is communication?

Love is communication?

Kule kwao Mwita Maranya, mapenzi ni kuchapwa makofi.

Yaani mwisho sijui itakuwaje!!!!!
1. Mapenzi ni upofu!!!!
2. Penzi kitovu cha uzembe!!!!
3. Mapenzi ni watu wawili!!!!

Leo tena 4. Mapenzi ni mawasiliano!!!!!!

Kazi kweli kweli haya mapenzi!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mawasiliano ndio kiungo, na mawasiliano katika mapenzi yana maana nyingi sana
 
Back
Top Bottom