LOVE IQ test, kwa kisa cha kweli , tumsaidie huyu mama ndoa yake Ibilisi kaingilia, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LOVE IQ test, kwa kisa cha kweli , tumsaidie huyu mama ndoa yake Ibilisi kaingilia,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Wameiba Kura, Dec 23, 2010.

 1. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Use u r l:A S-heart-2:E IQ kumsaidia huyu mama, hasa wadada wote wa JF mawazo yenu, plse
  Kuna mama yupo ndani ya ndoa kwa 9 yrs sasa, ana watoto wawili, wa 6yrs na 1yr na 6months, wote boys, Mzee wake alishazaa binti form 2 now na mwanamke mwingine kabla ya kumuoa huyu mama, na wanakaa nae na house girl, baba anaonekana kama anaulizia sana Mtoto wa kazi 19yrs kama wiki mbili hivi zimepita, mara umekula nk mbele mkewe, hajali
  Jmosi iliyopita mama na yule mtoto wa mama wa kambo wakawa naenda hospital Mwananyamala, mzee asubuhi 3 akamkodishia taxi, na akampa ATM achukue kilo moja kwani yy anapumzika hapendi (kutokatoka jmosi kwa maneno yake mzee) akiwa anarudi home, basi mama kufika hospital watu kibao, akaona acha apitie ATM arudi home mapema aende Jtatu, basi akachukua taxi huyo ATM then Kimara stop over home,
  eeehh kufika HOME ANAKUTA BABA HATA MLANGO HAKURUDISHA YUPO CHUMBANI ANAFANYA NGONO UCHI na HOUSE girl WOTE TENA HATA MKEWE ANAINGIA CHUMBANI HATA kushuka wanaendelea tu, miguno, mara aaaahhh, tamuu, mwaaaaaahhhh, mara house girl kamwona mama kakurupuka niachie mm, kakimbilia bafu la chumbani, kajifungia, mzee
  kashtuka kampigia mama magoti uchi anamuomba msamaha, mama kakataa, kampiga house girl, kamrudisha Tabata, mama karudi Moshi ana wiki ya pili sasa, mzee anazidi kumwomba msamaha. Je mama arudi au laa, na inaelekea si mara ya kwanza kwa maelezo ya mama, mzee wake kashazaa na house girl wa nyumba ya jirani pia na anamtunza mtoto. Help
   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mbona kutamu sana hapo???huyo ndiye mwanaume kweli asiyekuwa na displine na mashine yake...sasa huyo mwanamke akubali tu tabia ya mumewe zaidi ya hapo aokoke..mwanamke akiona anashidwa kuvumilia huo utamu basi achane naye..柳ㄹ햐ㅕㄷㅈ휴
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh mabig haya...mie i dont believe in marriage...kwa kweli its a big lie these days.muache huyo mama a-absorb hio shock kwanza huko moshi-akishajipumzikia atajua la kufanya.yeye ndio mwenye ndoa na uchungu anaujua kaupata kiasi gani.ila mie naona wangeachana ila wafikirie wataleaje watoto wao ,manake hii sio mara ya kwanza kwa mume kufanya hayo asije akamletea mama wa watu magonjwa bure.watoto wakabaki yatima.:embarrassed:
   
 4. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Amsamehe saba mara sabini
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ili wote wapukutike,watoto wabaki mayatima sio?mwanaume kama alijua hana discipline na mashine yake kwa nini alijicommit kwa huyo mama na kumuoa??angebaki single achape atakavyo maisha yake yote...!
   
 6. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Story inaonyesha kuwa mama ana lea.So mzee ana pa kupunguzia Mzuka.It seems mzee awezi kujizuia na vimwali,alafu pengine kutokana na ubize ana time ya kufanyia ubazazi wake mbai na maeneo ya nyumbani.why House girls? Ni kwa sababu anawapata kiuraisi au ndo raisi kuwatongoza?
  Iliwai tokea few yrs ago.mzee mmoja baada ya tungi alirudi nyumbani akataka sex kwa house Girl kwa force(sio mahouse Girl wote wanakuwa willing to do it)House girl alipogoma mzee akaforce,kumbe yule houseGirl alikuwa Bikra.purukushani zilizotokea apo yule binti aliumia vibaya na wakati wa hiyo purukushani Wife aliikuta ndo ipo katikati yule wife aliishiwa nguvu baada ya kuona damu za yule house girl zilivyotapakaa,akaacha kilakitu na watoto mpka leo ajarudi tena ktk nyumba ya mumewe.
  Hivyo ata ktk story hii inaonekana Mume ndio tatizo.Mdada wa kazi ana tatizo lolote-ushauri wangu ni kuwa Baba watoto apatie ushauri na wife amsamehe kwani akuna malaika kati yao.
  Pia ningependa kuwashauri wana ndoa kuwa makini na ngono na wafanyakazi wa ndani ata ma mama pia wapo wanaotembea na ma kaka wa kazi pia.
  Madhara yake most of the time huwa makubwa.
  Kuna familia moja imepukutika kwa HIV pale baba na vijana wake 2 wa Kiume kuambukizana HIV kwa kuchangia house Girl bila wenyewe kujuana
   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  subhana llah,,,,,,,wajua its true bora watoto wabaki na mama hali yakuwa baba yao atawatunza basi haina haja ya wao wawili kukaa pamoja bcouse huyo kidume atamletea maradhi huyu mama wawatu na kufa kuwaacha watoto yatima,,,watu wana msemo wanaosema mama ni bora kuliko baba,,japo mimi naona wote ni sawa na wote ni wazazi,,,,, ushauri wangu kwa hili ...ni kwamba bora mama akajipumzikie na watoto wake huko aliko amuache huyo babu na zahma zake za kidunia zitakazompeleka akhera,,,,
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna kusamehe saba wala sita,,,,, kwani waambiwa ni kawida yake,,,,sasa hata akisamehe ni meaningless tuu hana maana hata pesambili wallah!!!!!!!
   
 9. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuhh sasa ww umeleta kisa juu ya kisa, sasa unamwambiaje mama huyu? na kumbuka
  mzee si mlevi, ila akiwa home anaonekana mtiifu kwa wife hivi, mm nimempigia SIMU nikiwa mbali na TZ na kumwabia asirudi ng'o kujua hata alisha zaa na house girl wa jirani, kaa huko Moshi, na mama alikata kula siku nzima hadi kesho yake akaondoka, kachanganyikiwa, afadhali ila roho inaniuma maana ana mtoto mdogo, ila wanawake wanapata tabu jamani kaaaahh
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nashauri huyo mama aachwe kwanza apumzike maana sidhani kama sasa hivi yuko tayari kusikia chochote kutoka kwa mumewe ni bora akamuacha akatuliaza akili zake, pili huyu jamaa inaonekana sio mara yake ya kwanza ni business as usual kwahiyo jambo la msingi hapa ni kuwa hapo hakuna ndoa bali naona wanaishi kwa ajili ya watoto tu kama ndio hivyo huyu mwanamke ni bora akafanya mambo yake binafsi mwenyewe otherwise kila siku atakuwa anaombwa msamaha tu na yeye anakubali kama bendera fuata upepo hayo ndio maoni yangu
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haya ndio mambo huwa sipendi kusikia unaokoka wewe au unaokoka kwa ajili ya mumeo ni mara ngapi tunaona watu ni wacha dini lakini waume/wake zao bado ni wahuni wakutupwa tu hapa mjini kimsingi nachotaka kusema ikiishafika hali kama hiyo hapo ni simply kuwa hakuna ndoa
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Eti eeheeee!!!!!!
   
 13. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huyo mama aangalie ustaarabu wake. Hivi wanawake wamekwisha mpaka ufuate Mercury(Hg) Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu Chukueni small house mbali na maskani, small house asimjue my wife wako aking'ang'ania kumfahamu mpigechini, asifahamu nyumba unayoishi. Utakubaliana na haya siku yakikukuta ya kukukuta. Muheshimu sana my wife wako.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah natamani niimeze i pc kwa hasira!!!!
  pole yake sana
  the one above amjalie nguvu busara na hekima katika kipnd ikikgumu asije akafanya maamuzi mabaya zaid
  dahh mola msaidie faraja uyu mama..UYO MWANAUME YUKOJE?
  namtaman yan acha ..bt km ningekuwa mimi na amenitendea ivo zaid ya mara moja yan ningeondoka na kende yake ya kushoto...dah inauma sana jaman....
  mpe pole sana
   
 15. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna cha kutumia IQ hapa? zee linaoneka CV ya infidelito IMETULIA... mama aamue...akubali kuwa mhanga wa infidelito... au nae amegwe nje..... au atulie kwao Kishumundu alishe kitimoto maisha yasonge!!nahici huyo mzee ni wa kabila la wale wenye majina kama
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Punguza hasira basi mama,si niliwahi kusema humu kuwa hawa mahausigeli ni watamu sana watu wakanijia juu,eti ooh kwanza class yao ya chini sijui wachafu na mengineyo.Haya sasa, wanamama wakalie hayo maclass yao na kujisahau kwenye ndoa zao ndipo watawajua mahausigelo, na bahati mbaya sana ukishajaribu mmoja tu ni sawa na kula nyama ya mtu utarudia tu,si umemuona huyu?
   
 17. semango

  semango JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kazi kweli kweli.ila kuvunja ndoa sio suluhisho.watoto wanahitaji malezi ya baba na mama kwa pamoja.malezi bila baba yana athari kubwa hasa baba akiwa bado yuko hai.wafanye kila wanalofanya ili watoto wapate malezi ya wazazi wote wawili
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hasira ztanipungua mpaka utakapoenda kubadirisha ngozi yako!!!!!!!!
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Si nilipaka mkorogo nikabadilika mwili wote kasoro miguu na mikono na picha nikakutumia,lakini hukunijali nikajiachia sasa hivi nimerudia weusi wangu na sikubali kupaka tena mkorogo mpaka unipe nanihii.
   
 20. k

  kisukari JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mimi nisingesamehe,hata kama malezi ni ya baba na mama.huyo bwana hiyo tabia hawezi kuiacha.Akisamehewa atapumzika kwa muda tu,baadae ataendelea na tabia yake,jamani kwa nini mke hatoshi?mpaka utafute wa pembeni?kama style hazikuridhishi,mwambie mwenza wako,ili ajitahidi kuvumbua mapya
   
Loading...