haaahaMe neither ! we have so much in common !!
Then am going to need you name and your phone number jus for insurance purpose!!.![]()
jidai kuona nakuzingua utaamini siku utakapougua kichaa cha nnje. Unamng'ataje mtu ambae anakataaa? jielewe mkuuPole sana mkuu, unaonekana kuna tatizo linakusumbua, ni vema ukatulia na kujua unasolve vipi shida zako, ikishindikana omba msaada wa kimawazo kwa watu wanaokuzunguka, hii style uliokuja nao kwenye huu uzi sio ya kawaida, kitu kingine sijui kama ulilazimishwa kuchangia kwenye huu uzi, pole sana kama huu uzi umekukera, uwe na siku njema.
Ndio sioni kero wala aibu! Mimi kikubwa nikimridhisha mume wangu basi,walimwengu acha wakodoe macho tu,watakuangalia watakonyezana,watacheka na Ku gossip lakini jukumu langu mimetimiza! Love bites hutumika kupima ukali wa mechiHeheh kila mtu na ugonjwa wake, by the way nimependa unavyojiamini hasa hapo uliposema "sioni kero au aibu kua nazo shingoni"
ukiona hazijatika basi mnajua kabisa mlicheza kiwango cha chiniAisee! Nimecheka sanaWewee ni zombie kumtia mijinoo mtoto wa watuu kila siku!??

haya maneno ndo yanafanya wadada waambate na hii avanter, mimi nimeachia ngazi sikuwezi ( I can't you) for sureYou make my sad disappeared with your beautiful and charming words
tuko pamoja, kwa nini uning'ate sasa kwani vita?Hayo maswala ya kung'atana hayo bora niwe singo tu.
Ndohapo mkuu ambapo hakuna majibu sahihituko pamoja, kwa nini uning'ate sasa kwani vita?
ila dunia ina mengi
Ushauri:Wasalam wakuu,
Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,
Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi yake yeye ni ya mtume from Dubai (Mweupe).
Sasa baada ya tendo lile pendwa akitoka hapo shingo yote inakuwa haitamaniki kwa love bites huwa anapata sana wakati mgumu anapotaka kwenda kwenye mishughuliko yake na mara nyingi anaishia kunilaumu mimi kutokana na karaha anazopata akiwa huko kwenye mishuguliko yake ya kila siku kwani wadada wenzake humzonga kwa maswali na wengine huishia kumtazama siku nzima kwenye shingo yake kitu ambacho kinampa kero.
View attachment 637574
Shida yangu ni moja kujua kama kuna any means unaweza kufuta zile love bites kwa muda mfupi maana humchukua siku 3, 4 kufutika au kama kuna technic ya kuzuia hizi love bites zisitokee.
kweli kabisa mkuuNdohapo mkuu ambapo hakuna majibu sahihi
na kweli ni kwa neema tu mtu kupona hapoKabla hamjaanza mechi hakikisha anajipaka sumu ya panya shingoni, baada ya Hapo Unaweza kuendelea na mechi!
Ushauri:
Uwe una mloweka baada ya tendoWasalam wakuu,
Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,
Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi yake yeye ni ya mtume from Dubai (Mweupe).
Sasa baada ya tendo lile pendwa akitoka hapo shingo yote inakuwa haitamaniki kwa love bites huwa anapata sana wakati mgumu anapotaka kwenda kwenye mishughuliko yake na mara nyingi anaishia kunilaumu mimi kutokana na karaha anazopata akiwa huko kwenye mishuguliko yake ya kila siku kwani wadada wenzake humzonga kwa maswali na wengine huishia kumtazama siku nzima kwenye shingo yake kitu ambacho kinampa kero.
View attachment 637574
Shida yangu ni moja kujua kama kuna any means unaweza kufuta zile love bites kwa muda mfupi maana humchukua siku 3, 4 kufutika au kama kuna technic ya kuzuia hizi love bites zisitokee.
Without ur love I feel like suffocated!!!.haya maneno ndo yanafanya wadada waambate na hii avanter, mimi nimeachia ngazi sikuwezi ( I can't you) for sure
Watachanganyikiwa wengi hapa kwa haya manenoWithout ur love I feel like suffocated!!!.
Kuanzia Leo sitoyasema ,,nitakua nakuambia wewe tuu tukiwa chumbanWatachanganyikiwa wengi hapa kwa haya maneno
teh
uzuri nimegundua mapemaaaa
hahahahahahahha duuh, unataka tu kunichonganisha na penzi jipya nililopata hivi karibuniKuanzia Leo sitoyasema ,,nitakua nakuambia wewe tuu tukiwa chumban
Aaahhhh daahhh kazi zimenipagawisha ...sawa samahan jaman.hahahahahahahha duuh, unataka tu kunichonganisha na penzi jipya nililopata hivi karibuni
sipendi ujue
asante bby wa nani hiii "usiniulize wa nani"Aaahhhh daahhh kazi zimenipagawisha ...sawa samahan jaman.