Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Yameisha mkuu.Badilika aisee
Hahahhaha nimecheka mwenyewe. Hivi huku MTU anaweza kasirikia hata ambao hamtujui? Makubwa
Yameisha mkuu.Badilika aisee
Hahahhaha nimecheka mwenyewe. Hivi huku MTU anaweza kasirikia hata ambao hamtujui? Makubwa
Asante mkuuYameisha mkuu.
Mkuu hakuna haja ya kuzizuia, zikitokea mwambie apakae kiwi, kiwi hung'arisha na atapendeza kwa mng'aro wa ajabu.View attachment 640238




unawajua vyema hawa viumbe ni trick tu mrudieUmeuelewa vizuri sana huu uzi mkuu, and you know the whole situation inavyokuwa,....she is crazy linapokuja swala la biting though baada ya mchezo anajikuta anablame as if alikuwa haenjoy![]()
NA ya kukumoana hayo. Mtu mzima huwezi kuwa selfish kiasi hicho.Mapenzi ya kitoto hayo
umenifurahishaMbn umecheka palsa ??![]()
![]()
![]()
Haya vzuri Palsa !!!.umenifurahisha
Dah!! Akili nyingi nazo majangaKheri kinga kuliko tibaKanunue teeth protector uwe unaweka kwenye meno kama mabondia
![]()
Msisahau frustrations ziachangia pia, ipo siku atatoka na mnofu.For sure mzee, mizuka ikipanda chochote hutokea![]()