Love bites na karaha zake

Love bites na karaha zake

Ukilijulia unampa msisimko mi nishawahi kuitwa Vampire sijui aliwazaje yule mwanamke ila napendaga love bite hasa nikiwa na m bite kutokea kwa nyuma huku nimembana nipples
 
jidai kuona nakuzingua utaamini siku utakapougua kichaa cha nnje. Unamng'ataje mtu ambae anakataaa? jielewe mkuu

Mi nadhani we ndo utakuwa hujielewi mkuu, ni wapi ulipoona kumeandikwa mtu analazimishwa kung'wata??
 
Ndio sioni kero wala aibu! Mimi kikubwa nikimridhisha mume wangu basi,walimwengu acha wakodoe macho tu,watakuangalia watakonyezana,watacheka na Ku gossip lakini jukumu langu mimetimiza! Love bites hutumika kupima ukali wa mechi ukiona hazijatika basi mnajua kabisa mlicheza kiwango cha chini

Hahaha umetisha sana mkuu.
 
Ukilijulia unampa msisimko mi nishawahi kuitwa Vampire sijui aliwazaje yule mwanamke ila napendaga love bite hasa nikiwa na m bite kutokea kwa nyuma huku nimembana nipples

Umeuelewa vizuri sana huu uzi mkuu, and you know the whole situation inavyokuwa,....she is crazy linapokuja swala la biting though baada ya mchezo anajikuta anablame as if alikuwa haenjoy
 
Mkuu hakuna haja ya kuzizuia, zikitokea mwambie apakae kiwi, kiwi hung'arisha na atapendeza kwa mng'aro wa ajabu.
Kiwi_polish_black.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom