Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

Rollin riy

Member
Aug 14, 2015
62
224
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?

Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.

Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.

Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.

Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.

Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?

Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..

Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.

Na uchumba umekufa rasmi.
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu.Bila kupepesa macho alinambia kwa nn umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umbng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha ..Nilistuka lkn sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau ..
Basi tukaendelea na maongez mengine..
Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu Hua anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie..Ila ukweli weekend hii sikua dar..
Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti .

Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti.
Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu .
Nna mawazo sana na itabid nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kubaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama ..
Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu.
Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri..
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwAO maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshAmba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa..
Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mm ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shair nimepigiwa ..
Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo..
Na uchumba umekufa rasmi..
Hio ni alama allergy na kuishiwa cream jiongeze
 
Uyo aliyekwambia anajuaje kama ni love bite hiyo alama inaeza kuwepo hata ukijigonga au kung’atwa na mdudu..
Unajuaje kama huyo aliyekwambia ana nia njema na penzi lenu?
Kama mchumba wako anakucheat unaona hakufai Tena bora umuache au umpige?
Umefikiria matokeo ya kumpiga mdada wa watu?
 
Ushauri wangu fanya Uchunguzi ukigundua kweli chukua Kila kilicho chako ulipo mpangia fukuza Ili nayeye aone Uchungu wa aliyo kufanyia.

Baada ya hapo move on achana naye kabisa futa namba block maana huwa wanarudinkwa kubembeleza sana

Pole sana Kaka umeongea kwa hisia kubwa mno maana ake hili limegusa Ncha ya Moyo wako
 
Hili nalo unaleta kufungulia uzi, siku hizi wanaume tumekuwaje
 
Uyo aliyekwambia anajuaje kama ni love bite hiyo alama inaeza kuwepo hata ukijigonga au kung’atwa na mdudu..
Unajuaje kama huyo aliyekwambia ana nia njema na penzi lenu?
Kama mchumba wako anakucheat unaona hakufai Tena bora umuache au umpige?
Umefikiria matokeo ya kumpiga mdada wa watu?
Alie niambia ni dada mtu mzima tunaheshimiana sana na ni wale wadada swala 5.. kwa kweli hawez kunidanganya .
Na nia yake ilikua ni njema sabab si kitu kizur kimaadili kupigana love bite watu wazima . Na haileti heshima kwa wafanya kazi na wateja wao wanao wahudumia ..nia yake ilikua ni njema alijua mm ndo nimefanya vile ila ukweli si mm niliefanya hivo..
 
Ushauri wangu fanya Uchunguzi ukigundua kweli chukua Kila kilicho chako ulipo mpangia fukuza Ili nayeye aone Uchungu wa aliyo kufanyia.

Baada ya hapo move on achana naye kabisa futa namba block maana huwa wanarudinkwa kubembeleza sana

Pole sana Kaka umeongea kwa hisia kubwa mno maana ake hili limegusa Ncha ya Moyo wako
Mkuu haina haja ya uchunguzi. Kwa maumivu niliyo nayo lazima nimuumize zaid yangu ili iwe fundisho kwake asiende kufanyia watu wengine..siwezi kuumia peke yangu namna hii ..
Maumivu aliyo nisababishia lazima atayalipia..
 
Uyo aliyekwambia anajuaje kama ni love bite hiyo alama inaeza kuwepo hata ukijigonga au kung’atwa na mdudu..
Unajuaje kama huyo aliyekwambia ana nia njema na penzi lenu?
Kama mchumba wako anakucheat unaona hakufai Tena bora umuache au umpige?
Umefikiria matokeo ya kumpiga mdada wa watu?
mpaka arudi hiyo love bite anaweza kuta imepona😂
 
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio...
Duh! Mzee, si ungeongea taratibu tu? Haraka za nini? Tueleze kwa kituo nasi tujuwe yaliyokusibu.

Chanzo chako cha umbeya kina chuki na uhusiano wenu na kinataka kuchukua nafasi.

Fanya uchunguzi na kujiridhisha kabla ya Kuchukuwa sheria mkononi.

Mwombe MOLA wako akuongoze daima maishani.

REACTION haiwezi kuleta suluhu kabisa.
 
Back
Top Bottom