Love bites na karaha zake

Love bites na karaha zake

Fanya tu risk avoidance ....avoid to do atakuwa amebaki salama na risk yakubaki na bites haitakuwepo kabisa
 
Jaman ,,, kale kasimu kaliibiwa kila kitu kimepotea ndo maana km umewah nitafuta wasap sipatikan tena kwaile namba mpendwa !!.
Ndio maana, kuna ishu niliipata nikakucheki mshikaji wangu wa nguvu aah sikukupata, kuja jf nikakuta una ban ya nguvu nikasema heeeh wamem ban hadi kwenye simu ama nini.
 
Kuna kadem kangu ka Rebeca kalikua kanafanya kazi Internet Cafe Daaah nakakumbuka sana kalikua kanapenda Sana Love bite nkaeekee
 
Kuna kadem kangu ka Rebeca kalikua kanafanya kazi Internet Cafe Daaah nakakumbuka sana kalikua kanapenda Sana Love bite nkaeekee
 

Attachments

Mkuu utakua Dracula wewe...ila nakushur ustumie meno maeneo hayo,zaid tumia ulimi wako vzuri na ataenjoy
 
Kuna binti ana hiyo tabia hasa akiwa anafika kileleni...imebidi niwe naweka shingo yangu mbali kuepuka hizo mambo.
Na alivyokuwa mwehu tukishamaliza anajifanya kunishangaa hizo alama nimeng'atwa na mdudu saa ngapi smh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom